Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Simu zenyewe ukipiga hawapokei dah.!

Ila kiongz naona una hoja nzito sana na itasaidia wakirekebisha hayo matatizo.

Kwa ushaur, siku ukipata nafasi wafuata pale Mtumba muone top leader mueleze huo utumbo ili ikiwezekana warekebishe iwe faidi kwa watanzania wengi.
 
Haya ni matatizo ya kuamini sana katika vyeti kuliko ujuzi halisi wa muhusika wa kitengo chenyewe.
Ajira portal na mdogo wao Taesa matatizo yanafanana sana sijui ni lini hawa wasimamizi EGA watabioresha hizo website zao.

Waende kwenye taasisi za mashirika ya nje au ubalozi waelekezwe namna ya kuweka mifumo inayoeleweka, RTI, eu embasy, FHI360 nk huko naona kupo vizuri sana japo wana mlolongo mrefu kuliko ajira portal ila mifumo yao ni rafiki.
 
Mfano 4. Kuna tatizo la Backward. Mfano ume click Vacancies page 32. U click kusoma moja wapo ya kazi ktk page 32.e.g. row 1. Uki rudi nyuma kidogo ili uende row 2, kosa!!! Ina kutoa moja kwa moja toka page 32 hadi page 1 ya Vacancies(yaani home page ya Vacancies
Hili ni tatizo la mifumo mingi ya serikali.Hata ukiyoa maoni namna gani.Huwa hawafanyii kazi.
 
Hii taasisi ni maumivu Haina huruma. Utaandika feedback kuomba help hawajibu. Huwezi kufuta Vyeti ulivyoweka kimakosa.
 
Tatizo lipo kote wizara nzima malalamiko hakuna mtu anajali inasikitisha sana... Kada ya muhudumu wa afya sifa zote unazo Ila inagoma kabisa.
 
Kama wahusika wapo humu ni vyema wafanyie kazi malalamiko ya wananchi.
 
Nisaidieni namna ya kuweka passport size kwenye profile portal yangu ya utumishi, nikiweka inaload tu bila mafanikio.
 
Jaribu kusoma mada za wenzako wenye shida kama hiyo na sio kukimbilia kufungua uzi mpya,

Maana sasa watu watakuwa wanatoa maelezo ya aina moja kwenye uzi tofauti tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…