Mimi namba yangu ya nida inagoma kukingia ajira portal nifanyaje
Ndio hata mimi, na kufungua akaunti mpya inanisumbua piaHii shida me pia napata, naambiwa namba imekwisha tumika
Ndio hata mimi, na kufungua akaunti mpya inanisumbua pia
Hivi na interview zipo vile vile kwenda mkoani kufanyaeDah na deadline ni tar25 natafuta namna ya kuwasiliana nao bado sijapata
Hivi na interview zipo vile vile kwenda mkoani kufanyae
Aise sawa, ngoj tuone kama tutapata ufumbuzi wa tatizo kwanza
Lakini nadhani ni mpaka j3 sasa.Nimefanikiwa kupata email na namba zao lakin hazipokelewi, so nmewatumia email juu ya changamoto ninayokutana nayo, ngoja nione kama watanijibu kwa wakati .
Hata mimi nimewatumia emailNimefanikiwa kupata email na namba zao lakin hazipokelewi, so nmewatumia email juu ya changamoto ninayokutana nayo, ngoja nione kama watanijibu kwa wakati .
Hivi mkuu kwenye ajira Portal Kuna sehemu inataka Verification Certificate sasa mimi nilishang viattach kule juu kwenye saved academic qualifications au nimekoseaWakuu naombeni msaada, kila ninapojaribu ku update picha naona ina load tu lakini haibadiliki.
Picha iliyopo sasa hivi niliiweka wakati nipo certificate, sasa haikuwa ya passport size ilikuwa ni picha ya kawaida tu ya photo shoot.
Kwa anaejua namna ya ku update picha nyingine naomba anisaidie maana kila nikijaribu inagoma, msaada wakuu tafadhali.
Nenda ofisi zao kama upo dsm nenda utumish house pale posta watakusaidiaMimi namba yangu ya nida inagoma kukingia ajira portal nifanyaje
Nenda ofisi zao ilo tatizo watakusaidiaMm nikijarbu kuweka vyeti vyangu vilivyosainiwa na mwanasheria vinagoma msaada wadau
1.Ndugu yangu je ni lazima kuweka hio barua ajira portal ..Oya wadau, halafu hizi barua tunazo upload ajira portal ni lazima tuzitype au tunaweza kuandika hata kwa mkono tu ?
Nilifanikiwa ndugu. Jaribu ku log out afu log in tena Kisha update profile picha yako itakubali. Ukiona inagoma jaribu ku clear cache "Kam unatumia simu" afu update tena itakubali.mkuu ulifanikiwa jinsi ya ku-edit profile picture ya ajira portal maana na mimi najaribu inashindikana?
Asante mkuu naona ilikuwa ni cache ila picha ilikuwa imebadilikaNilifanikiwa ndugu. Jaribu ku log out afu log in tena Kisha update profile picha yako itakubali. Ukiona inagoma jaribu ku clear cache "Kam unatumia simu" afu update tena itakubali.