Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Aise sawa, ngoj tuone kama tutapata ufumbuzi wa tatizo kwanza

Nimefanikiwa kupata email na namba zao lakin hazipokelewi, so nmewatumia email juu ya changamoto ninayokutana nayo, ngoja nione kama watanijibu kwa wakati .
 
Nimefanikiwa kupata email na namba zao lakin hazipokelewi, so nmewatumia email juu ya changamoto ninayokutana nayo, ngoja nione kama watanijibu kwa wakati .
Lakini nadhani ni mpaka j3 sasa.
 
Wakuu naombeni msaada, kila ninapojaribu ku update picha naona ina load tu lakini haibadiliki.

Picha iliyopo sasa hivi niliiweka wakati nipo certificate, sasa haikuwa ya passport size ilikuwa ni picha ya kawaida tu ya photo shoot.

Kwa anaejua namna ya ku update picha nyingine naomba anisaidie maana kila nikijaribu inagoma, msaada wakuu tafadhali.
Hivi mkuu kwenye ajira Portal Kuna sehemu inataka Verification Certificate sasa mimi nilishang viattach kule juu kwenye saved academic qualifications au nimekosea
 
Mm nikijarbu kuweka vyeti vyangu vilivyosainiwa na mwanasheria vinagoma msaada wadau
 
Oya wadau, halafu hizi barua tunazo upload ajira portal ni lazima tuzitype au tunaweza kuandika hata kwa mkono tu ?
1.Ndugu yangu je ni lazima kuweka hio barua ajira portal ..
2.kama ni lazima unaweza nionyeshq mfano upoje au heading /title ya barua
 
mkuu ulifanikiwa jinsi ya ku-edit profile picture ya ajira portal maana na mimi najaribu inashindikana?
 
mkuu ulifanikiwa jinsi ya ku-edit profile picture ya ajira portal maana na mimi najaribu inashindikana?
Nilifanikiwa ndugu. Jaribu ku log out afu log in tena Kisha update profile picha yako itakubali. Ukiona inagoma jaribu ku clear cache "Kam unatumia simu" afu update tena itakubali.
 
Nilifanikiwa ndugu. Jaribu ku log out afu log in tena Kisha update profile picha yako itakubali. Ukiona inagoma jaribu ku clear cache "Kam unatumia simu" afu update tena itakubali.
Asante mkuu naona ilikuwa ni cache ila picha ilikuwa imebadilika
 
Back
Top Bottom