MAGRETH MBUNGANI
Member
- May 12, 2016
- 9
- 1
Hbr..naomba unisaidie nataka kuapply kaz ya diploma na nilishaweka vyet vya dgreehapo huhitaji kufuta. Inatakiwa ulekebishe kulingana na system inavyotaka
Lakini tukikuajiri kwa diploma baadae usituletee degree yako... tukubaliane.Logic yake ni nini hasa? Yaani mfano kuna nafasi ya mwalimu inatakiwa kufundisha sekondari sasa kuna watu wawili mwenye diploma na mwenye digrii kwa hiyo digrii anaachwa?? Kwa nini isiwe ni added advantage kumpata mwenye digrii kwa position ya diploma?? Aliye design huo mfumo ni kiazi kweli kweli.
Mkuu naomba unisaidie pia nina tatzo kam la nduguHii ni confidential.sio kila kitu ukiweke wazi
Hio seem ya edit ipo na kila nikifanya edit hayo ndio majibu nayo yapat hio niliweka Alama ya X zina vet org Ila kuedit uwek certified zimegoma imebid kurudua kujaz upy na kuweka upy certified na hio ya lev ya kdt cha 6 kufuta nimeshindwa nilikosea kuweka namna ya kuondoa nimeshindwa kbsa nikurudia kuweka level ya kdt cha4 baambiwa tayri ipo
Picha ya kwanza n umeweka document kwa format isiyo sahihi, hakikisha iwe pdf.Hio seem ya edit ipo na kila nikifanya edit hayo ndio majibu nayo yapat hio niliweka Alama ya X zina vet org Ila kuedit uwek certified zimegoma imebid kurudua kujaz upy na kuweka upy certified na hio ya lev ya kdt cha 6 kufuta nimeshindwa nilikosea kuweka namna ya kuondoa nimeshindwa kbsa nikurudia kuweka level ya kdt cha4 baambiwa tayri ipo
Msaada wenu
Msaada wakuu nifanyejeWakuu nataka kuedit iyo diploma niweke certificate nikijaribu progamme niliyosoma haiji
Apo nifanyeje ss ndg nisaidie maan at cmdocoment zote zip kwenye mfumo wa pdfPicha ya kwanza n umeweka document kwa format isiyo sahihi, hakikisha iwe pdf.
Picha ya pili kulikuwa hakuna haja ya kurudia, unge-edit tuu kwa kutoa cheti ambacho hakina mhuri kwa kuweka kilicho na mhuri na ingekubali vzr tuu.
Kwenye hii ishu nakulaumu mwnyw kwa kushindwa kuwa makini.
Document zote zipo mfumo wa PDF naomb nikutafute private km unaweza nisaidiaPicha ya kwanza n umeweka document kwa format isiyo sahihi, hakikisha iwe pdf.
Picha ya pili kulikuwa hakuna haja ya kurudia, unge-edit tuu kwa kutoa cheti ambacho hakina mhuri kwa kuweka kilicho na mhuri na ingekubali vzr tuu.
Kwenye hii ishu nakulaumu mwnyw kwa kushindwa kuwa makini.
Forget anything I wrote.Hio seem ya edit ipo na kila nikifanya edit hayo ndio majibu nayo yapat hio niliweka Alama ya X zina vet org Ila kuedit uwek certified zimegoma imebid kurudua kujaz upy na kuweka upy certified na hio ya lev ya kdt cha 6 kufuta nimeshindwa nilikosea kuweka namna ya kuondoa nimeshindwa kbsa nikurudia kuweka level ya kdt cha4 baambiwa tayri ipo
Msaada wenu
Forget anything I wrote.
Ajira portal imefungwa so mtu huwezi ondoa chochote kilichozidi.
Editing wanafanya wao wenyewe tu.
Kama upo Dar nenda Kivukoni Utumishi wakueditie.
Kama una dip na degree na unataka kutoa degree ibaki dip wanagoma
umefanikiwa kufuta mkuu ?Nimefanikisha ndg asnte kwa ushauri
Hongera chiefNimefanikisha ndg asnte kwa ushauri
Ndio nimefanikisha kufut level ya kidato cha 6 ba vet og pamoja na ile nafs zilizo jirudia mara2 nimemwagiz ndug yangu utumishi dodom akanisaidia kufany hivoumefanikiwa kufuta mkuu ?
Ukijariibu kufanya haya utakutana na kikwazo cha nida. System ni computerised.Fungua account nyingine badili email tu, alaf jaza upyaa