Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Logic yake ni nini hasa? Yaani mfano kuna nafasi ya mwalimu inatakiwa kufundisha sekondari sasa kuna watu wawili mwenye diploma na mwenye digrii kwa hiyo digrii anaachwa?? Kwa nini isiwe ni added advantage kumpata mwenye digrii kwa position ya diploma?? Aliye design huo mfumo ni kiazi kweli kweli.
Lakini tukikuajiri kwa diploma baadae usituletee degree yako... tukubaliane.
 
Hizi options za kuedit hauzipati mkuu?

View attachment 2188033
Hio seem ya edit ipo na kila nikifanya edit hayo ndio majibu nayo yapat hio niliweka Alama ya X zina vet org Ila kuedit uwek certified zimegoma imebid kurudua kujaz upy na kuweka upy certified na hio ya lev ya kdt cha 6 kufuta nimeshindwa nilikosea kuweka namna ya kuondoa nimeshindwa kbsa nikurudia kuweka level ya kdt cha4 baambiwa tayri ipo
Msaada wenu
 
Attachments

  • Screenshot_20240727-144024.png
    Screenshot_20240727-144024.png
    83.4 KB · Views: 12
  • IMG_20240726_215137_386.jpg
    IMG_20240726_215137_386.jpg
    71.3 KB · Views: 12
Hio seem ya edit ipo na kila nikifanya edit hayo ndio majibu nayo yapat hio niliweka Alama ya X zina vet org Ila kuedit uwek certified zimegoma imebid kurudua kujaz upy na kuweka upy certified na hio ya lev ya kdt cha 6 kufuta nimeshindwa nilikosea kuweka namna ya kuondoa nimeshindwa kbsa nikurudia kuweka level ya kdt cha4 baambiwa tayri ipo
Msaada wenu
Picha ya kwanza n umeweka document kwa format isiyo sahihi, hakikisha iwe pdf.

Picha ya pili kulikuwa hakuna haja ya kurudia, unge-edit tuu kwa kutoa cheti ambacho hakina mhuri kwa kuweka kilicho na mhuri na ingekubali vzr tuu.

Kwenye hii ishu nakulaumu mwnyw kwa kushindwa kuwa makini.
 
Wakuu nataka kuedit iyo diploma niweke certificate nikijaribu progamme niliyosoma haiji
 
Attachments

  • Screenshot_20240727-183519.png
    Screenshot_20240727-183519.png
    70 KB · Views: 6
  • Screenshot_20240727-184111.png
    Screenshot_20240727-184111.png
    63.5 KB · Views: 9
Picha ya kwanza n umeweka document kwa format isiyo sahihi, hakikisha iwe pdf.

Picha ya pili kulikuwa hakuna haja ya kurudia, unge-edit tuu kwa kutoa cheti ambacho hakina mhuri kwa kuweka kilicho na mhuri na ingekubali vzr tuu.

Kwenye hii ishu nakulaumu mwnyw kwa kushindwa kuwa makini.
Apo nifanyeje ss ndg nisaidie maan at cmdocoment zote zip kwenye mfumo wa pdf
 
Picha ya kwanza n umeweka document kwa format isiyo sahihi, hakikisha iwe pdf.

Picha ya pili kulikuwa hakuna haja ya kurudia, unge-edit tuu kwa kutoa cheti ambacho hakina mhuri kwa kuweka kilicho na mhuri na ingekubali vzr tuu.

Kwenye hii ishu nakulaumu mwnyw kwa kushindwa kuwa makini.
Document zote zipo mfumo wa PDF naomb nikutafute private km unaweza nisaidia
 
Hio seem ya edit ipo na kila nikifanya edit hayo ndio majibu nayo yapat hio niliweka Alama ya X zina vet org Ila kuedit uwek certified zimegoma imebid kurudua kujaz upy na kuweka upy certified na hio ya lev ya kdt cha 6 kufuta nimeshindwa nilikosea kuweka namna ya kuondoa nimeshindwa kbsa nikurudia kuweka level ya kdt cha4 baambiwa tayri ipo
Msaada wenu
Forget anything I wrote.

Ajira portal imefungwa so mtu huwezi ondoa chochote kilichozidi.

Editing wanafanya wao wenyewe tu.

Kama upo Dar nenda Kivukoni Utumishi wakueditie.

Kama una dip na degree na unataka kutoa degree ibaki dip wanagoma
 
Nimefanikisha ndg asnte kwa ushauri
Forget anything I wrote.

Ajira portal imefungwa so mtu huwezi ondoa chochote kilichozidi.

Editing wanafanya wao wenyewe tu.

Kama upo Dar nenda Kivukoni Utumishi wakueditie.

Kama una dip na degree na unataka kutoa degree ibaki dip wanagoma
 
Attachments

  • Screenshot_20240730-221234.png
    Screenshot_20240730-221234.png
    60.2 KB · Views: 9
Katika ku scan vyeti , kijana aliunganisha transcript mbili , ya certificate na diploma. Akitaka kuomba nafasi ya diploma inakataa maana vyeti vimeunganishwa. Amejaribu kuvitoa inashindikana. msada wa kuvitoa ili aanze upya kwa nafasi za diploma. Unavitoa (withdraw) kwa njia ipi?taka
 
Sytem haikatai kubadili documents, system inakataaga kubadili level yako ya elimu.

Huyo kijana level ya elimu aliyoweka ndiyo inamfunga, wala siyo document aliyoupload.
 
Back
Top Bottom