Mfumo wa Ajira Portal haueleweki na umekuwa kikwazo katika kutuma maombi ya kazi. Tangu mwaka 2025, ninapojaribu kuingiza NIN yangu, mfumo hunionesha kuwa tayari imeshatumika, hali inayonikwamisha kuendelea na mchakato wa maombi.
Pia, licha ya kuwasiliana kupitia barua pepe, hakuna majibu yanayotolewa kwa wakati.
Ni vyema wahusika wakaboresha mfumo huu ili uwe rahisi kutumia, pamoja na kuhakikisha kunakuwa na majibu ya haraka (quick response) kwa maoni na changamoto zinazowasilishwa na waombaji wa kazi.