Ajira: Sales and marketing nafasi 1

Ajira: Sales and marketing nafasi 1

RJ45

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2014
Posts
340
Reaction score
117
Habari!

Anatafutwa mdada wa sales and marketing. Kwa kiwango cha mshahara tutapendelea mwenye certificate au diploma. Awe na knowledge ya kutumia computer na digital marketing. Office ipo Boko - DSM. Send CV and recent photo to: joerk2045@gmail.com

Only shortlisted will be contacted.
 
Na wenye Degree Mbona hatujazingatiwa 🥲
 
Sikia .

If you need a real competent worker achana na mambo ya Picha .

Uzuri wa mtu ,umbo , haufanyi upate Wateja
Asante kwa ushauri mkuu. Japo tumeomba picha for identification purpose only na sio kuangalia uzuri ndio maana hata akituma passport inakubalika na ingekuwa wanatuma hard copy tungeomba passport lakini sio kila mtu ana digital version ya passport ndo maana tukaruhusu picha yoyote.
 
Ok. ,pamoja.
 
Back
Top Bottom