Na wenye Degree Mbona hatujazingatiwa 🥲Habari!
Anatafutwa mdada wa sales and marketing. Kwa kiwango cha mshahara tutapendelea mwenye certificate au diploma. Awe na knowledge ya kutumia computer na digital marketing. Office ipo Boko - DSM. Send CV and recent photo to: joerk2045@gmail.com
Only shortlisted will be contacted.
Asante kwa ushauri mkuu. Japo tumeomba picha for identification purpose only na sio kuangalia uzuri ndio maana hata akituma passport inakubalika na ingekuwa wanatuma hard copy tungeomba passport lakini sio kila mtu ana digital version ya passport ndo maana tukaruhusu picha yoyote.Sikia .
If you need a real competent worker achana na mambo ya Picha .
Uzuri wa mtu ,umbo , haufanyi upate Wateja
Ok. ,pamoja.Asante kwa ushauri mkuu. Japo tumeomba picha for identification purpose only na sio kuangalia uzuri ndio maana hata akituma passport inakubalika na ingekuwa wanatuma hard copy tungeomba passport lakini sio kila mtu ana digital version ya passport ndo maana tukaruhusu picha yoyote.
kama hujaolewa nitakuzingatia😋😋Na wenye Degree Mbona hatujazingatiwa 🥲