Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
- Thread starter
-
- #21
Kazi ya serikali ni nini kama haiwezi kusimamia mambo kama hayaVyuo vinafanya biashara. Havina mahusiano yoyote na kama utapata kazi au hutapata.
Ni jukumu lako kuamua utasoma nini.
Mambo kama haya ni upuuzi kwa staili hii ,mambo ya kusomesha watoto sio dili ni ujingaTuliwahi kuuliza swali kama hili hatukupatiwa majibu hadi leo. Wizara ya nishati, madini, ujenzi, mawasiliano, maendeleo ya jamii, fedha,maji, mifugo na kilimo nafasi za ajira mbona hazitolewi kwa mfuko huu,mbona hazitangazwi?
Mashirika kama tanesco,tpdc,ewura,Pura, bima,bot, tra, veta,puma, na kadhalik mbona hawatangazi nafasi za waliosome degree na kuendelea? Ukisikia nafasi imetangazwa ni nafasi ya mtunza kumbukumbu au katibu mhutasi.
Bachelor of science in rural development, unakwenda kujiajiri au kuajiriwa? Degree zingine zipo tu ili malecturer wapate mishahara na kujiendeleza ili watape PhD
Acha utopolo,nafasi 1 waombaji 1000 ,,what is this?Ajira izo zingjne kila mwezi zinatangazwa kupitia www.ajira.go.tz acha kulalamika kijana
Mambo gani, kuzuia watu wasipate elimu au kupangia watu vitu vya kusoma ?Kazi ya serikali ni nini kama haiwezi kusimamia mambo kama haya
Una tatizo la kisaikolojia Mkuu.Acha utopolo,nafasi 1 waombaji 1000 ,,what is this?
Huko wanawekana vigogo ambao huwa mnawapigia kura baada ya kupewa chumvi.Mfano, lini ajira portal walitangaza nafasi za kazi BOT tangu mwaka 2015? Huko BOT watumishi hawastaafu?hawafi? Hakuna vitengo vipya muda wote huo
Daa Nina hasira nao
Tuliwahi kuuliza swali kama hili hatukupatiwa majibu hadi leo. Wizara ya nishati, madini, ujenzi, mawasiliano, maendeleo ya jamii, fedha,maji, mifugo na kilimo nafasi za ajira mbona hazitolewi kwa mfuko huu,mbona hazitangazwi?
Mashirika kama tanesco,tpdc,ewura,Pura, bima,bot, tra, veta,puma, na kadhalik mbona hawatangazi nafasi za waliosome degree na kuendelea? Ukisikia nafasi imetangazwa ni nafasi ya mtunza kumbukumbu au katibu mhutasi.
Bachelor of science in rural development, unakwenda kujiajiri au kuajiriwa? Degree zingine zipo tu ili malecturer wapate mishahara na kujiendeleza ili watape PhD
Liwalo na liwe, we don't care anymoreEndeleeni kusubiri ajira hadi Yesu Kristu atakaporudi!
[emoji22][emoji22][emoji22] sadKheri maisha ya mbwa ulaya kuliko graduate wa bongo
Unaongea nini wewe popomaEndeleeni kusubiri ajira hadi Yesu Kristu atakaporudi!
changamoto sana...ila apangalo Mungu hakuna wa kulipinga..ikiwa NDIO ni NDIO tuu!Kheri maisha ya mbwa ulaya kuliko graduate wa bongo
Pumbavu aliyekuzaa.Unadhani saizi tukisema Kati ya walimu na watu wa afya against fani zingine wapi wanakabiliwa na tatizo la mass unemployment?Mtoa Mada Mpumbavu
1)Hilo uwalimu kuwa na Mass Employment lipo miaka na miaka tangu tupo wadogo kwanini hukuliona hilo na kuchagua uwalimu...ni ujinga wako wa kuchagua bumunda wakati toka mtoto unajua keki ndio tamu.
2)Sababu kubwa ya watoto wa maskini kusoma Uwalimu ni Mass Employment 90% ya mates pale College ya elimu wamechagua uwalimu kwaajiri hii hilo lipo miaka na miaka sasa wewe kama mtoto wa tajiri wacha upumbavu.
3)Uwalimu una faida na hasara
*Faida Mass Employment
*Hasara maslahi madogo na kila mtu kuwa Boss wako
Wewe kwanini umeenda kwenye Faida nakohoji kwanini Faida hii mbona ujaenda kwenye hasara za uwalimu ukahoji kwanini hawana maslahi....HIYO NI ROHO YA KICHAWI NA KISHETANI.
Kama unalilia haki sawa kwenye ajira pia ungelilia haki sawa kwenye maslahi...hii formula haipo kwa bahati mbaya ni Balance.
Nikwambie tu kitu pekee kinachofanya watu wasome uwalimu ni urahisi wake wakupata ajira na Mass employment kipengere hiko kikitoweka hakuna atakayesoma uwalimu...Look it is Proud kujiita mimi MHASIBU na pochi nene But kwa Mwalimu it is Insane kusema mimi MWALIMU so value pekee iliyo kwenye uwalimu ni Entrace yake kwenye ajira.
Falsafa hizi zote ilibii uzitambue kabla ya kuingia Chuoni ni upumbavu unaouleta hapa kamlilie mwalimu wako ambae hakukufundisha Carrier Selction.
Na koma kuingilia taaluma za watu pambana mpambano wako pekeyako.
Mkulima anahusika vipi na mada inayohusiana na taaluma,Pumbavu aliyekuzaa.Unadhani saizi tukisema Kati ya walimu na watu wa afya against fani zingine wapi wanakabiliwa na tatizo la mass unemployment?
Eti maslahi madogo kwani unadhani fani zingine zina maslahi makubwa?
Ndio maana nikimsikia mtu anatetea waalimu namuonaga ni mpumbavu kama wewe,uache kutetea wakulima wako hoi na wasio na ajira huko utetee waalimu? Kama maslahi madogo mbona hawaachi Kazi ndio wanazidi kukimbilia?
Jibu ni moja tuu kitaani hakulipi tena