Ajira serikalini

Ajira serikalini

Joined
Oct 26, 2021
Posts
99
Reaction score
294
Sikiliza muungwana na nisikilize kwa umakini sana.

Kazi za Serikali na private sector ni ngumu sana muungwana. Wanaotoka ni wachache sana sana ila wanaotaka kuingia ni wengi. Sasa iko hivi kwako wewe ambaye unasema sina ata mtaji sasa nitawezaje?๐Ÿฅบ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ sasa acha kuilamu serikali muungwana mda unakimbia na unakuacha

Jaribu njia hii muungwana. Umewahi kusikia kuhusu ๐‘ฐ๐‘ต๐‘ช๐‘ผ๐‘ฉ๐‘จ๐‘ป๐‘ฐ๐‘ต๐‘ฎ ๐‘ต๐‘จ ๐‘จ๐‘ช๐‘ช๐‘ฌ๐‘ณ๐‘ฌ๐‘น๐‘จ๐‘ป๐‘ฐ๐‘ต๐‘ฎ muungwana? ๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ๐Ÿค”

Sasa sikia incubating na accelerating ni nzuri sana kwako wewe muungwana ambaye unataka kukata tamaa baada ya kusaka kazi serikalini na private sector bila ya mafanikio muungwana๐Ÿฅบ

Muungwana andika andiko lako kuhusu project ambayo itakuwa na manufaa kwa jamii na kwako pia kiuchumi kabla ya yote muungwana kaisajili COSOTA muungwana watu ni wezi watakuibia๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ kisha nenda na project hiyo kwa mtajiri mmoja mwambie mnaweza kufanya kazi kwa upamoja wenu, mtagawana faida kwa asimilia muungwana. Muungwana hapa umeweka akili na malengo ila mtaji anaweka mtajiri. INCUBATING inaitwa muungwana hii

Muungwana sikia tembelea mara kwa mara kurasa za makampuni kwani huwa wanatafuta watu wenye idea mpya katika biashara zao ili wanunue. Na ni kwa lengo la kuboresha biashara zao Hii late Dr. Reginald Mengi alikuwa anafanya sana, pia mitandao ya simu kama Tigo, Voda, Airtel. Hii muungwana tunaita ACCELERATING muungwana. Muungwana unfollow kurasa za kishamba shamba muungwana ๐‘ฎ๐‘จ๐‘น๐‘ฉ๐‘จ๐‘ฎ๐‘ฌ I๐‘ต , ๐‘ฎ๐‘จ๐‘น๐‘ฉ๐‘จ๐‘ฎ๐‘ฌ ๐‘ถ๐‘ผ๐‘ป muungwana. Muungwana unafollow sana page za ngono na umbea achana nazo sasa tafuta fursa

Muungwana ukipata nafasi tengeneza jina muungwana. Sikiliza ๐‘พ๐‘ถ๐‘น๐‘ฒ ๐‘ฏ๐‘จ๐‘น๐‘ซ ๐‘ฉ๐‘ผ๐‘ป ๐‘ด๐‘ถ๐‘บ๐‘ป ๐‘ฐ๐‘ด๐‘ท๐‘ถ๐‘น๐‘ป๐‘จ๐‘ต๐‘ป ๐‘พ๐‘ถ๐‘น๐‘ฒ ๐‘บ๐‘ด๐‘จ๐‘น๐‘ป muungwana.

Muungwana tafuta mentor/roll model muungwana husiamini sana akili yako, mda mwingine inakusaliti sana muungwana, kwani ukumbuki kwenye mitihani ilivyokuwa inakuacha mwenyewe au ukitaka kuzungumza kimombo akili yako inakukimbia๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ find a mentor to mentor you muungwana

Muungwana ushapata nafasi, ushapata mentor muungwana anza sasa kutafuta CONNECTION muungwana. Muungwana bila nafasi, bila jina muungwana utabaki kuwa chawa ukijificha kwenye jina la Influencers shauri yako, utagalagala kwenye vumbiโ˜น

Muungwana sasa ๐‘ด๐‘ฐ๐‘ต๐‘ซ ๐’€๐‘ถ๐‘ผ๐‘น ๐‘ฌ๐‘ฎ๐‘ถ aisee ushapata yote haya utaanza kuwa na jeuri na EGO ndio itakudondosha muungwana. Kuwa makini muungwana.

Yote kwa yote muombe sana Mwenyezi Mungu muungwana, wathungu wanasema Lucky happens when chance meets opportunity muungwana ๐Ÿ™ŒโœŠ

Muungwana hakikisha unafanya kazi unaondoka nyumbani muungwana, acha maneno na watu kazi au kwenye biashara muungwana. Watu watacheka na wewe ila siku ukiteleza muungwana wamekumaliza, waswahili wanasema ๐‘ต๐‘ฐ๐‘ฒ๐‘จ๐‘ต๐’€๐‘จ๐‘ฎ๐‘ฌ ๐‘ฉ๐‘จ๐‘ฏ๐‘จ๐‘ป๐‘ฐ ๐‘ด๐‘ฉ๐‘จ๐’€๐‘จ ๐‘ต๐‘ฐ๐‘ฒ๐‘ผ๐‘ณ๐‘ฐ๐‘ท๐‘ผ๐‘ฌ ๐‘ฒ๐‘ฐ๐‘ด๐‘จ๐‘ฒ๐‘ผ๐‘บ๐‘ผ๐‘ซ๐‘ฐ.

Muungwana sisi tuliosoma uchumi kidogo tunasemaje S is equal to I tukimanisha ๐‘บ๐‘จ๐‘ฝ๐‘ฐ๐‘ต๐‘ฎ ๐‘ฐ๐‘บ ๐‘ฌ๐‘ธ๐‘ผ๐‘จ๐‘ณ ๐‘ป๐‘ถ ๐‘ฐ๐‘ต๐‘ฝ๐‘ฌ๐‘บ๐‘ป๐‘ด๐‘ฌ๐‘ต๐‘ป. Muungwana husiogope kucheza michezo na wanawake muungwana, hapo unakuwa unasave muungwana kwa maana ukishapata fuba la kutosha muungwana kawekeze sehemu muungwana. Muungwana akikisha unasave muungwana fainali uzeeni

Muungwana akikisha unakula vizuri muungwana. ๐’€๐‘ถ๐‘ผ๐‘น ๐‘ฏ๐‘ฌ๐‘จ๐‘ณ๐‘ป๐‘ฏ ๐‘ป๐‘ถ๐‘ซ๐‘จ๐’€ ๐‘ฐ๐‘บ ๐’€๐‘ถ๐‘ผ๐‘น ๐‘ณ๐‘ฐ๐‘ญ๐‘ฌ ๐‘ป๐‘ถ๐‘ด๐‘ถ๐‘น๐‘น๐‘ถ๐‘พ muungwana, waswahili wakisema fainali uzeeni wanamanisha pia kwamba magonjwa yatakusumbua sana uzeeni kama husipokula vizuri muungwana. Jifunze kula vizuri muungwana hakuna tunzo ya kushinda njaa muungwana. Kula chakula cha kiungwana

Muungwana nikutakie mapambano mema. HAIJAWAHI KUWA RAHISI.
 

Attachments

  • VID_22780807_003107_064.mp4
    18.3 MB
Back
Top Bottom