LegalGentleman
Member
- Oct 26, 2021
- 99
- 294
Sikiliza muungwana na nisikilize kwa umakini sana.
Kazi za Serikali na private sector ni ngumu sana muungwana. Wanaotoka ni wachache sana sana ila wanaotaka kuingia ni wengi. Sasa iko hivi kwako wewe ambaye unasema sina ata mtaji sasa nitawezaje?๐ฅบ๐ญ๐ญ๐ญ sasa acha kuilamu serikali muungwana mda unakimbia na unakuacha
Jaribu njia hii muungwana. Umewahi kusikia kuhusu ๐ฐ๐ต๐ช๐ผ๐ฉ๐จ๐ป๐ฐ๐ต๐ฎ ๐ต๐จ ๐จ๐ช๐ช๐ฌ๐ณ๐ฌ๐น๐จ๐ป๐ฐ๐ต๐ฎ muungwana? ๐คทโโ๏ธ๐ค
Sasa sikia incubating na accelerating ni nzuri sana kwako wewe muungwana ambaye unataka kukata tamaa baada ya kusaka kazi serikalini na private sector bila ya mafanikio muungwana๐ฅบ
Muungwana andika andiko lako kuhusu project ambayo itakuwa na manufaa kwa jamii na kwako pia kiuchumi kabla ya yote muungwana kaisajili COSOTA muungwana watu ni wezi watakuibia๐๐๐ kisha nenda na project hiyo kwa mtajiri mmoja mwambie mnaweza kufanya kazi kwa upamoja wenu, mtagawana faida kwa asimilia muungwana. Muungwana hapa umeweka akili na malengo ila mtaji anaweka mtajiri. INCUBATING inaitwa muungwana hii
Muungwana sikia tembelea mara kwa mara kurasa za makampuni kwani huwa wanatafuta watu wenye idea mpya katika biashara zao ili wanunue. Na ni kwa lengo la kuboresha biashara zao Hii late Dr. Reginald Mengi alikuwa anafanya sana, pia mitandao ya simu kama Tigo, Voda, Airtel. Hii muungwana tunaita ACCELERATING muungwana. Muungwana unfollow kurasa za kishamba shamba muungwana ๐ฎ๐จ๐น๐ฉ๐จ๐ฎ๐ฌ I๐ต , ๐ฎ๐จ๐น๐ฉ๐จ๐ฎ๐ฌ ๐ถ๐ผ๐ป muungwana. Muungwana unafollow sana page za ngono na umbea achana nazo sasa tafuta fursa
Muungwana ukipata nafasi tengeneza jina muungwana. Sikiliza ๐พ๐ถ๐น๐ฒ ๐ฏ๐จ๐น๐ซ ๐ฉ๐ผ๐ป ๐ด๐ถ๐บ๐ป ๐ฐ๐ด๐ท๐ถ๐น๐ป๐จ๐ต๐ป ๐พ๐ถ๐น๐ฒ ๐บ๐ด๐จ๐น๐ป muungwana.
Muungwana tafuta mentor/roll model muungwana husiamini sana akili yako, mda mwingine inakusaliti sana muungwana, kwani ukumbuki kwenye mitihani ilivyokuwa inakuacha mwenyewe au ukitaka kuzungumza kimombo akili yako inakukimbia๐๐๐ find a mentor to mentor you muungwana
Muungwana ushapata nafasi, ushapata mentor muungwana anza sasa kutafuta CONNECTION muungwana. Muungwana bila nafasi, bila jina muungwana utabaki kuwa chawa ukijificha kwenye jina la Influencers shauri yako, utagalagala kwenye vumbiโน
Muungwana sasa ๐ด๐ฐ๐ต๐ซ ๐๐ถ๐ผ๐น ๐ฌ๐ฎ๐ถ aisee ushapata yote haya utaanza kuwa na jeuri na EGO ndio itakudondosha muungwana. Kuwa makini muungwana.
Yote kwa yote muombe sana Mwenyezi Mungu muungwana, wathungu wanasema Lucky happens when chance meets opportunity muungwana ๐โ
Muungwana hakikisha unafanya kazi unaondoka nyumbani muungwana, acha maneno na watu kazi au kwenye biashara muungwana. Watu watacheka na wewe ila siku ukiteleza muungwana wamekumaliza, waswahili wanasema ๐ต๐ฐ๐ฒ๐จ๐ต๐๐จ๐ฎ๐ฌ ๐ฉ๐จ๐ฏ๐จ๐ป๐ฐ ๐ด๐ฉ๐จ๐๐จ ๐ต๐ฐ๐ฒ๐ผ๐ณ๐ฐ๐ท๐ผ๐ฌ ๐ฒ๐ฐ๐ด๐จ๐ฒ๐ผ๐บ๐ผ๐ซ๐ฐ.
Muungwana sisi tuliosoma uchumi kidogo tunasemaje S is equal to I tukimanisha ๐บ๐จ๐ฝ๐ฐ๐ต๐ฎ ๐ฐ๐บ ๐ฌ๐ธ๐ผ๐จ๐ณ ๐ป๐ถ ๐ฐ๐ต๐ฝ๐ฌ๐บ๐ป๐ด๐ฌ๐ต๐ป. Muungwana husiogope kucheza michezo na wanawake muungwana, hapo unakuwa unasave muungwana kwa maana ukishapata fuba la kutosha muungwana kawekeze sehemu muungwana. Muungwana akikisha unasave muungwana fainali uzeeni
Muungwana akikisha unakula vizuri muungwana. ๐๐ถ๐ผ๐น ๐ฏ๐ฌ๐จ๐ณ๐ป๐ฏ ๐ป๐ถ๐ซ๐จ๐ ๐ฐ๐บ ๐๐ถ๐ผ๐น ๐ณ๐ฐ๐ญ๐ฌ ๐ป๐ถ๐ด๐ถ๐น๐น๐ถ๐พ muungwana, waswahili wakisema fainali uzeeni wanamanisha pia kwamba magonjwa yatakusumbua sana uzeeni kama husipokula vizuri muungwana. Jifunze kula vizuri muungwana hakuna tunzo ya kushinda njaa muungwana. Kula chakula cha kiungwana
Muungwana nikutakie mapambano mema. HAIJAWAHI KUWA RAHISI.