Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Ukipata nafasi kwenye Kilimanajro, Tilosho, Bm, Esther humalizi miezi 3 utakutana na muujiza wako.View attachment 3700134
Ukondakta wa mikoani sasa unasomewa, chuo cha DIT na NIT ndio wanasomea, sasa tunaomba na mikoani kuwe na chuo.
1. cheti CBE na NIT
2. Umri miaka 20-28
3. Mtanzania.
5. Ajue kiswahili fasaha.
6. Kingereza cha kuombea maji.
7. Uwe na mwonekano [Sexy]
8. Usiwe na mimba
Labda zamani sio kwa sasa Mkuu, mimi nimeshapanda sana hizo bus za mkoa, abiria ni wale wale tu wananchi wa kawaida, route ya Dodoma tangu iwepo SGR watu karibu wote wanaojitambua wanakimbilia huko.Ukipata nafasi kwenye Kilimanajro, Tilosho, Bm, Esther humalizi miezi 3 utakutana na muujiza wako.
Kumbuka kila siku unakutana na potential people,
MuongoAsiwe mimba ina maana hizo kazi ni kwa wanawake tu?
Mishahara yao ipoje? Manzi mmoja mtaani alikuwa ananata sana, akaingia anga za muhuni mmoja, akampiga chini, manzi akahama mtaa na maisha kuyumba sana, sasa hivi yupo kwenye hizo pande za ukonda wa magari ya mkoa, anadanganya watu kila trip analipwa laki.
Na abood aisee noma sana nilipanda abood ya Chuga usiku mmoja tulikuwa na dada mrembo huyoooo!!!Ukipata nafasi kwenye Kilimanajro, Tilosho, Bm, Esther humalizi miezi 3 utakutana na muujiza wako.
Kumbuka kila siku unakutana na potential people,
20,000 kila siku si laki 6 hiyo kwa mwezi? Mimi naamini wale mishahara yao ni laki 2 tu.Muongo
Haizidi 20,000
Wanapewa posho kwa safari. Mbunge msukuma akiwatetea madereva kurudi darasani ku renew leseni alisema madereva wanalipwa posho 60,000 kwa safari,asipo safiri hana kitu.20,000 kila siku si laki 6 hiyo kwa mwezi? Mimi naamini wale mishahara yao ni laki 2 tu.