Inasikitisha sanaMwalimu naye anakwambia ana bills anatakiwa kulipa. Wacha wapambanie wote, mshindi atashinda
Ndugu yangu wewe umeajiriwa au unakaa, kula na kulala kwa shemeji?Vijana msipende kulialia na kuonewa huruma. Ikiwa hao watumishi wa umma wana sifa stahiki waachwe waombe hizo kazi. Jobless wapendelewe?
Atakayepata na apate, then chapa kazi kwa uadilifu.
Hata mie nataka kujua.Ni kazi ya siku ngapi hiyo?
Hata mie nataka kujua.
Mbona wanasema siku 45? Wengine siku 28.Siku 10
Yaani nijisumbue kuomba kazi ya tsh 60 elfu per day!!!! Aaaah wapi
Kama wewe ni mwalimu wa serikali omba hizo nafasi.....Inasikitisha wakati kuna vijana wanahangaika mjini kutafuta ajira bila mafanikio ni dhahiri kwamba baada ya tangazo la tume ya uchaguzi kutangaza nafasi za kazi kwaajili ya uchaguzi mkuu wengi waliojitokeza kuomba ni waajiriwa tayari.
Wengi wao ni walimu na watendaji wa mitaa SERIKALI iliangalie hili wanaotakiwa kupewa upendeleo no wale vijana wanaosota mitaani walimu mlioajiriwa na waajiriwa wengine kuweni na HURUMA
Taangazo lao lilisema mafunzo siku 10 zoezi pia litakuwa kwa siku 10Mbona wanasema siku 45? Wengine siku 28.
Hata haielewekii.