kaka-blaza
Member
- Nov 7, 2019
- 96
- 141
online au physic. maana nilipo mimi SIDO wako mbali saana.Ukipita sido utapata abc zote pale maana huwa wanatoa mafunzo
nieleze mkuu kama una uzoefu wowote juu ya hilo swalaJibu la swali lako ni refu japo na uzoefu.
Kirahisi ivyo eeh, acha kuharibu fani za watuUkichukuwa caustic soda ukichanganya na mafuta ukachemsha hiyo ni sabuni ya kipande tayari, chemsha mwaga huo mchanganyiko kwenye moulds yako tayari
Ni tayari kweli na sio utani chukua mafuta lita 1,weka ndani yake vijiko viwili vya caustic soda changanya chemsha, huku ukikoroga itabadilika rangi pour into moulds
sawa. sasa ninachotaka kujua, je gharama za vifaa(malighafi) zikoje ukichukulia na bei za sabuni baada ya kuitengeneza. yan hiyo kuna faida inayopatikana, au ndio mtaji na bei ya bidhaa vinaenda sambambaNi tayari kweli na sio utani chukua mafuta lita 1,weka ndani yake vijiko viwili vya caustic soda changanya chemsha, huku ukikoroga itabadilika rangi pour into moulds
Mtego wa biashara hii upo kwenye kupata mafuta kwa bei ya chini kadri uwezavyo ili kupata faida kubwa.sawa. sasa ninachotaka kujua, je gharama za vifaa(malighafi) zikoje ukichukulia na bei za sabuni baada ya kuitengeneza. yan hiyo kuna faida inayopatikana, au ndio mtaji na bei ya bidhaa vinaenda sambamba
na hilo dumu la lita 20 linaweza kutoa miche mingapi ya sabuni.Mtego wa biashara hii upo kwenye kupata mafuta kwa bei ya chini kadri uwezavyo ili kupata faida kubwa.
Mf:mawese damu la liter 20 huuzwa kwa shs 60,000/-ukilipata kwa 30,000 ni bora zaidi