Ajira walimu wapya

Ajira walimu wapya

Mwendamsakafu

Member
Joined
Aug 28, 2013
Posts
38
Reaction score
4
jaman ss wahanga wa ajira mbona wizara ya elim ime2sahau san au hawajui mchngo we2 ktka nchi hii, mwnye update 2julshane
 
Nmezimiss sredi za namna hii, zilishamiri sana mwezi wa kwanza na wa pili, mkuu watu wanasubiri katikati ya mwezi huu ndio maana hawaulizi mara kwa mara kama miezi iliyopita.

Ukiona wiki ijayo kimya basi anza michakato mingine.
 
2shaambiwa mwezi huu katikati, haileti maana kuuliza ajira leo kama vipi huu uzi utoke tu leo siyo muda muafaka.
 
jaman ss wahanga wa ajira mbona wizara ya elim ime2sahau san au hawajui mchngo we2 ktka nchi hii, mwnye update 2julshane

kama wewe ni mwalimu mtarajiwa na unaandika hvo,nawapa pole sana vijana wetu watakaopitia mikonon mwako!
 
Kwa uandishi huu kama na wewe ni mwalimu, basi tatizo ni kubwa kuliko tunavyofikiria. Great GOD forbid.
 
kweli mkuu,tunaweza tukawa tunawalaumu wanafunzi bure,lakini kumbe tatizo liko kwa walimu.
 
Kama tu mwalimu "fresh from college" anathubutu kuandika upuuzi wa namna hii..,I fear for my country.
 
kama wewe ni mwalimu mtarajiwa na unaandika hvo,nawapa pole sana vijana wetu watakaopitia mikonon mwako!
Tofauti ya uandishi wake na wako Ni ipi? HVO, MIKONON ndivyo ulivyofundishwa kuandika lugha fasaha? Kifimbocheza asingekuacha wewe!!!
 
kama wewe ni mwalimu mtarajiwa na unaandika hvo,nawapa pole sana vijana wetu watakaopitia mikonon mwako!

TAperry unakosoa vitu ambavyo hata we huvijui!. mikonon,hvo, khaaa!
 
Back
Top Bottom