K11
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 3,447
- 11,274
Kuwa mvumilivu, serikalini hakuna dhulama ya sitahiki za mtumishi ila kuna kucheleweshewa tu kwa muda kidogo kisha haki yako unaipata.Mkuu tunasaidia , Hatuko hapa kutengeneza matatizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa mvumilivu, serikalini hakuna dhulama ya sitahiki za mtumishi ila kuna kucheleweshewa tu kwa muda kidogo kisha haki yako unaipata.Mkuu tunasaidia , Hatuko hapa kutengeneza matatizo
Kuhusu Nyama ya kenge watu wanaipenda sana kwanini?mhh pole sana ulitaka ulipwe kabla hujafanya kazi? kwani ulipokua hujaajiriwa uliishije jifunze ukakamavu vijana mmekaa kizembe lala njaa siku tatu ndio ulie lie na hapo siku tano nyuma umekula nyama ya kenge mijusi sio unakula chipsi unaandika uzi...
kipindi nipo chuo kuna jamaa alipanga tulipokua tumepanga sisi wanachuo na yeye alikua kaajiriwa ndio mpyaaaaaaa haelewi hili wlaa lile mwanzo alianza kwa mbwembwe akijua hela inakuja tukimkaribisha cha usiku tumetoa kitu na mwanangu anatukataa ikafika stage akawa anatuomba tumstue muda wa kula badae akashika usukani alikuja kuchoka alipojua nyama tunazokula mda mwingine ni kenge au nungu nungu singida napapenda kuna kenge wengi kwenye mawe sisi kuwakamata na kutoa rost ni kitu ya kawaida.
jamaa akauliza kwann mnakula hivi hatukuwa na majibu ila tulimuuliza kabla hujajua si ulienjoy akabakikusema dah ndio maana nilikua nasita kula na nyie....
jamaa alipataga shavu akavutwa na wazungu now yupo Denmark anakula maisha alishatutumia picha ya kenge mkubwa anasema hatotusahau ilibidi nimuachie mwanangu tuliekua tunakaa hostel moja
Nop ajira yake kiserkali inaweza kusoma hata mwezi wa Tatu inategemea alifika lini kazini..Kuwa mvumilivu, serikalini hakuna dhulama ya sitahiki za mtumishi ila kuna kucheleweshewa tu kwa muda kidogo kisha haki yako unaipata.
Nakuambia ukweli, mimi sina ubia na CCM ila ninasema yale ninayoyajua.Utakuwa kada Ccm.
Unaongea kirahisi tu.
Mbona vijana wanalaumiwa sanamhh pole sana ulitaka ulipwe kabla hujafanya kazi? kwani ulipokua hujaajiriwa uliishije jifunze ukakamavu vijana mmekaa kizembe lala njaa siku tatu ndio ulie lie na hapo siku tano nyuma umekula nyama ya kenge mijusi sio unakula chipsi unaandika uzi...