DOKEZO Ajira walizotoa TAMISEMI, Januari 2024 hatujapata mshahara hadi leo na haieleweki lini tutalipwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mkuu tunasaidia , Hatuko hapa kutengeneza matatizo
Kuwa mvumilivu, serikalini hakuna dhulama ya sitahiki za mtumishi ila kuna kucheleweshewa tu kwa muda kidogo kisha haki yako unaipata.
 
Kuhusu Nyama ya kenge watu wanaipenda sana kwanini?

Nimeona hata baadhi ha sehemu nyama Ya Mamba ikiuzwa ghali sana?
Hivi ni Tamu kweli?
 
Kuwa mvumilivu, serikalini hakuna dhulama ya sitahiki za mtumishi ila kuna kucheleweshewa tu kwa muda kidogo kisha haki yako unaipata.
Nop ajira yake kiserkali inaweza kusoma hata mwezi wa Tatu inategemea alifika lini kazini..
Kama alifika mwezi wa Pili kati kati ongeza wiki mbili za maandalizi..
So obvious Ajira yake itakuwa inasoma kuanzia 20 mwezi wa Pili (Asome barua yake ya Ajira imeandika Lini)

So kama kaajiriwa mwezi wa Pili mshahara bado..
 
Reactions: K11
Mbona vijana wanalaumiwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…