Oxpower
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 2,166
- 3,077
Habari za kazi na poleni kwa majukukumu wanajukwaa
Naomba nianze na historia fupi ya tatizo lilipoanzia…….
Mimi nlikua mwanafunzi wa udsm tokea 2011-2014 B.A with education ,political science na geography ikiwa ni masomo yakufundishia
Tukiwa mwaka wa tatu semista ya kwanza kuna course inaitwa GE249 research methods in geography, hii course tulikua tunasoma facult mbili tofauti(BAED&BAGEN), kwa kawaida ya huwa tunafanya test moja na kuandika research paper (BAED) na kufanya field research(BAGEN). Tunafanya hivyo kwa kua serikali haina pesa yakutulipa wote kwa jili ya kwenda field na hii inatokana na kwamba sisi walimu huwa tunafanya TP mara mbili.
Hizo research paper na research huwa vinafanyika kipindi cha mapumziko mafupi ya kuingia semista ya pili na kusubmet mwanzoni mwa semista ya pili(mwezi wa pili) na matokeo hutoka pamoja na matokeo ya semista ya pili(means its inter semester course)
Let's back to the topic
Mwezi wa wa8 kipind nmeshamaliza chuo matokeo ya semista ya pili yakawa yametoka tanks God yakawa poa lakin cha kushangaza ile ge249 et nmecary wakati nmefanya UE,(kwa utaratibu wa chuo kupitia prospector kwa college yetu mwanafunzi haruhusiwi kuingia UE kama hajafikisha 16 kwa 40 na akiingia kifuatacho ni sup ikitokea kafanya vibaya na sio cary over)sasa mm nikakuta cary over. Asubui ikabid niede chuo kuulizia ,nikakutana na examination officer nikamueleza tatizo,cha ajabu nae akawa anashangaa.gafla zikaanza kuingia simu nyingi na watu wanamiminika ofisin kwa kesi moja tu.
Akatushauri tumpigie simu mwalimu husika ,tulivyompigia akadai kwa hiyo course inatakiwa mtu aingie UE akiwa na marks si chini ya 20 tofauti na tulivyozoea 16.
Tuka appeal,kesi ikatushinda japo majibu yao yalipinda na walitoa siku ya dead line ya tarehe ya ku re-appeal,baadae tukaenda kwa DVC akaahid kutusaidia na ARIS stutus ikabadilika lakini baada ya muda ikarudi vile vile.
Mwisho wa siku ikabidi turudie course, tupo jumla ya watu 114, mwaka huu mwezi wa pili tumeirudia tayari lakini matokeo ni hadi mwez wa nane, hivyo siwezi kupata transcript wala cheti mpaka mwezi wa 11.
TATIZO
Tatizo linalonifanya niandike huu uzi
27/4 mwaka huu ajira za walimu zimetoka,nashukuru mungu name nimo,nmepata post mkoa wa lindi wilaya ya nachingwea.kabla hatujaenda kuripoti tukakubaliana kupitia chuo kuoma barua za utambulisho kua tumeshaclear na tunachosubir ni muda tu tupewe cheti
Nmeripoti na nkapangiwa kituo cha kazi lakin jumapil afisa utumish msaidizi alinipigia simu kuwa data zangu zimegoma kwa kua sina transcript wala chet,na provision result hairuhusiwi.ikabid niende nkamuelekeza kuwa katika vyeti vyangu nmeambatanisha na barua kutoka chuo.
Ikabid attach tena ile barua na kuscan kisha akatuma lakin baada ya muda akaniambia imegoma pia,kadai nifate transcript kabla ya 30june,ikizid hapo ntakua nmejitoa kwenye system ya mshahara maana tutakua tumeingia mwaka mwingine wa fedha.
-kiukweli nmechanganyikiwa sijui nianzie wapi na sijui nitapata msaada wapi ili nilinde ajira yangu
-kama kuna mtu ana uzoefu au lishawahi kumkumba hili suala aniambie yeye alifanyaje
-kama kuna shule inahitaji mwalimu wa geograph niambieni nikajaribu hata private ila sio haya manyanyaso
Najua nmeandika mada ndefu na nmepanik kidogo hivyo usikoment uandishi wangu, nisaidie tu kimawazo ni namna gani naweza kujinasua katika hili maana hadi hapa nishatumia pesa nyngi sana, huku nliko ni mbali na nyumbani na sina mwenyeji, toka tar 8 mpaka sasa nakaa gest na nakula mgahawani.
MSAADA TAFADHALI