Ajira wametufukuza: Tunafunga virago kurudi nyumbani tukalime

Ajira wametufukuza: Tunafunga virago kurudi nyumbani tukalime

Pole sana ndugu yangu ,ilo swala lako ngumu sana .nina uzoefu na hyo kitu kwa sasa bila vyeti wala transcript jiandae kukosa mshahara.nina ndugu yangu kakutana na janga kama lako kapoteza muda na pesa kibao huko tamisemi ila aliambulia patupu tangu mwaka jana.kinachohutajika ni namba za cheti na transcript,utumishi hawawezi kukusaidia kwenye matatizo yako na chuo.anza kusaka plan B mapema coz siku yyte wanasitisha salary.pole sana
 
Bob bila transcript hapo hupat kit hata uende kwa presida fanya issue nyingne
 
Pole maliedo I can feel your pain coz once I had the same problem too. Just hold on and keep praying Mungu hamtupi mja wake keep fighting in any way possible.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom