abby abdy
Member
- Oct 26, 2018
- 42
- 40
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simu gani?.....kwa hiyo walivyotengeneza simu na komputa wao ni wajinga eti?
Itawafaa wale wanaojishikiza kwa muda... Si unajua sahivi suala la ajira ni tatizo halafu qualifications za kawaida tu sio zile za mwanachuo.Yaani.msisitizo upo kwenye kuwa na kazi....?
Yaani km una kazi usiombe.,Nyie jamaa nyie Mungu anawaona mjue,Yaani.mnasisitiza kabisa usiwe na kazi halafu mshahara 200K kwa mwezi eti ukifanya kazi vizuri itapanda hadi 300K..Kuweni serious na sio muendendeshe maisha yenu kwa jasho la wengine..
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo tufanye collaboration.. Mimi sijui kutumia net
Mshahara uwe lake nane 50% ya muda wa mtu sio mchezo. Laki mbili kwa maisha ya sasa ni ndogo sana.Mwanafunzi haiwezekani, rejea andiko tumesema usiwe na ajira au jukumu jingine sababu hii kazi itakuhitaji 50% ya muda wako.