Mkuu nashauri aachane na mawazo ya kuajiriwa. Afikiri kujiajiri mwenyewe sasa. Mfano sasa ni msimu wa machungwa.
Anunue machungwa ya laki 2. Atafute mtu wa kuyauza yeye awe karibu na kumfuatilia kwa ukaribu.baada ya miezi kadhaa utaniambia.Ninajua anayanya hivyo.
Nimependa sana communication skills yako.Unatumia lugha ya ustaarabu.
Wanajamii wote tukiwa na lugha ya kama wewe JF itakuwa mfano.
Nakusaidia kuwaomba wadau wakupe jibu.
karibuni
Nimependa sana communication skills yako.Unatumia lugha ya ustaarabu.
Wanajamii wote tukiwa na lugha ya kama wewe JF itakuwa mfano.
Nakusaidia kuwaomba wadau wakupe jibu.
karibuni
Andika barua kwa katibu mkuu wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi. Akiomba kabla ya mwezi wa kumi na mbili anaweza kuwemo kwenye ajira inayofuata ila hawezi kupangiwa kazi kwa wakati huu ni mpaka pale hawa wanaomaliza vyuo sasa watakapokuwa wanapangiwa vituo vya kazi ndipo na yeye anaweza kupangiwa. Mimi ni mmjoja wapo niliyepata kazi kwa njia hiyo.