ajira ya ualim serikalini unaombwa wapi?

ajira ya ualim serikalini unaombwa wapi?

BRUCE LEE

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2010
Posts
2,096
Reaction score
1,334
wataalam, nimeombwa msaada na mtu anaehitaji kuomba ajira ya ualim serikalini je aombe wapi? natanguliza shukrani.
 
nitashukuru kama mtanijuza ili tumsaidie mwalimu huyu alie choshwa ajira za shule binafsi
 
Mkuu nashauri aachane na mawazo ya kuajiriwa. Afikiri kujiajiri mwenyewe sasa. Mfano sasa ni msimu wa machungwa.
Anunue machungwa ya laki 2. Atafute mtu wa kuyauza yeye awe karibu na kumfuatilia kwa ukaribu.baada ya miezi kadhaa utaniambia.Ninajua anayanya hivyo.
 
malammsha, thanx, ila nadhani nibora ningemjibu swali lake then ndo nimpe na ushauri huo. asante kwa busara zako mkuu
 
Nimependa sana communication skills yako.Unatumia lugha ya ustaarabu.
Wanajamii wote tukiwa na lugha ya kama wewe JF itakuwa mfano.
Nakusaidia kuwaomba wadau wakupe jibu.
karibuni
 
Nimependa sana communication skills yako.Unatumia lugha ya ustaarabu.
Wanajamii wote tukiwa na lugha ya kama wewe JF itakuwa mfano.
Nakusaidia kuwaomba wadau wakupe jibu.
karibuni

Na ww tatizo lako katika communication skills umegundua nini ??
 
MALAMMSHA,asante kuu, napia naomba wadau wa elimu mnisaidie kwa hili nimejaribu ku google bila mafanikio. asanteni sana.
 
Andika barua kwa katibu mkuu wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi. Akiomba kabla ya mwezi wa kumi na mbili anaweza kuwemo kwenye ajira inayofuata ila hawezi kupangiwa kazi kwa wakati huu ni mpaka pale hawa wanaomaliza vyuo sasa watakapokuwa wanapangiwa vituo vya kazi ndipo na yeye anaweza kupangiwa. Mimi ni mmjoja wapo niliyepata kazi kwa njia hiyo.
 
mwakigali ndaga fijo malafyale, pia wazo la kabwela nakushukuru sana. basi nawatakia kila la heri ktk shughuli zenu
 
Andika barua kwa katibu mkuu wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi ukiomba hiyo kazi ambatanisha na vyeti vyako, peleka wizarani
 
asante mkuu rubwe, nimekusoma ndugu mtanzania mwenzangu
 
Back
Top Bottom