Ajira ya ualimu bila JKT inawezekana?

Ajira ya ualimu bila JKT inawezekana?

cuteme

New Member
Joined
Sep 18, 2014
Posts
1
Reaction score
0
Naweza kuajiliwa bila cheti cha JKT? Maana nilienda pakanishinda
Nimemaliza chuo mwaka huu ngaz ya diploma
 
Duu Mkuu I Mambo Ya Jkt Nafkr Wameikomalia But Cjajua Kama Mlomaliza Chuo Mwaka U Mtatakiwa Kwenda But Kwa Taarfa Nlzockiag Kpnd Fulan N Kwamb Wanaomalz Chuo From Next Yr Yabid Waende Jkt Af Ndo Ajira Wapate, Kama Vp Jpange Wakimaind Itabd Muende Coz Ata Sie 2metoka Uko Juz Kati Kama Vp Mbio Km 32 Ztakuhuxu
 
Back
Top Bottom