Naomba mnijuze jamani, nimeangalia ajira za waalimu tangu 2012/2013 na 2013/2014 nimeona waalimu wengi wameajiriwa vyuo vya ualimu mfano Butimba, Monduli, Vikindu nk. sijaona hata mmoja aliyeajiriwa chuo cha ualimu Patandi elimu maalum, je? hiki chuo wanaajiriwa waalimu wa aina gani? ni lazima wawe wote wametoka special education? au hata waliomaliza elimu za kawaida yaani non-special education,. na mishahara yao ni tofauti au?
:clap2::clap2::clap2:
:clap2::clap2::clap2: