Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi za uandishi ni wito, ukiwa nao, utafuta chuo mwenyewe, utajisomesha, ukimaliza utafuta newsroom ya kufanyia mazoezi kwa vitendo, ukionekana unaweza, watakuchukua!, ukionekana huwezi watakutosa, na kama una wito, utahamia newsroom nyingine kuanza moja na nyingine na nyingine mpaka upate wito wako utimie!.Hivi mbona hata siku 1 sija ona mtu au tangazo kwaajili wa waandishi au watangazaji? Au ndo hawanaga nafasi kwa jf?