Ajira za Afya na elimu

Ajira za mchongo hizo. Hata zikitoka, wanaopata ni wachache ukilinganisha na kundi kubwa la wahitimu wanaotaabika miaka nenda sasa mtaani.
 
Hizo ajira zilinitesa kuzisibiri kama miaka 4 .
Ila Kwa Sasa hata nipewe ajira siendi.
Vijana jiamini pesa na kila kitu vipo mtaani hao walimuuza wanalipwa laki 5 tu
Komaa na mtaa utakulipa zaidi
 
Ni bora watangaze kupata ni issue nyingine.
Ninachoweza kukushauri kama mwanaume mwenzangu usiwe Na mategemeo makuuubwa Na hizo ajira, siku hizi kuna watu wanazitumia kama fimbo ya kuwaumiza wengine kihisia hasa hasa sisi watoto wa kiume, unajua mwanaume ndie nguzo ya familia au jamii popote pale, wao wakikunyima hizo ajira kwa muda wa miaka minne mpaka minane wanaona tayari wameishakupotezea direction.........Mimi mwenyewe ni muhanga na kama nisingekaza ningekuwa Na maisha ya hovyoo, kwa watoto wa kike huu ushauri wangu hauwahusu.
 
Ajira za mchongo hizo. Hata zikitoka, wanaopata ni wachache ukilinganisha na kundi kubwa la wahitimu wanaotaabika miaka nenda sasa mtaani.
Saiz hizo ajira 1300 sijui na ngapi Kuna watu wanazigawana kabla hazijatangazwa
 
Na kama wewe ulisoma kozi ya utabibu au clinical officer na ni mtoto wa kiume chunga sana , narudia tena kwa herufi kubwa CHUNGA SANA.....waseng* wapo attention kuwaumiza hisia , mwaka jana karibia asilimia 80 ya watoto wa kike waliosoma kozi ya utabibu waliajiriwa Na tamisemi Na watoto wa kiume walikuwa ni asilimia 20 tu....ndio maana nasema chungeni sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hatari
 
Saiz hizo ajira 1300 sijui na ngapi Kuna watu wanazigawana kabla hazijatangazwa
 
Saiz hizo ajira 1300 sijui na ngapi Kuna watu wanazigawana kabla hazijatangazwa
Afadhali umelitambua hilo, japo zikitangazwa usiache kuomba , kuomba ajira ni haki yako kama ilivyo haki yako kupiga kura
 
Kuna kijana namfahamu kahitimu 2018 afya hajawahi kuacha kutuma maombi ya kazi interview kwenda ndo usiseme lkn had Leo amekata tamaa
 
Ngoja wale wa Tamisemi waje kutoa comment za uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…