Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Kabisa lo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa lo
Ni bora watangaze kupata ni issue nyingine.Tatizo sio lini wanatangaza tatizo utapata?
Sio afya mkuu.Ondoa mawazo hayo watu huu mwaka wa nane wanasota
Afya hiyo hiyo..japo kiuhalisia kuna baadhi ya watu walikuwa wanadharau kuomba ajira za serikali kwa sababu walikuwa wamejipata kwenye mashirika binafsi........Sio afya mkuu.
Ninachoweza kukushauri kama mwanaume mwenzangu usiwe Na mategemeo makuuubwa Na hizo ajira, siku hizi kuna watu wanazitumia kama fimbo ya kuwaumiza wengine kihisia hasa hasa sisi watoto wa kiume, unajua mwanaume ndie nguzo ya familia au jamii popote pale, wao wakikunyima hizo ajira kwa muda wa miaka minne mpaka minane wanaona tayari wameishakupotezea direction.........Mimi mwenyewe ni muhanga na kama nisingekaza ningekuwa Na maisha ya hovyoo, kwa watoto wa kike huu ushauri wangu hauwahusu.Ni bora watangaze kupata ni issue nyingine.
Saiz hizo ajira 1300 sijui na ngapi Kuna watu wanazigawana kabla hazijatangazwaAjira za mchongo hizo. Hata zikitoka, wanaopata ni wachache ukilinganisha na kundi kubwa la wahitimu wanaotaabika miaka nenda sasa mtaani.
HatariNa kama wewe ulisoma kozi ya utabibu au clinical officer na ni mtoto wa kiume chunga sana , narudia tena kwa herufi kubwa CHUNGA SANA.....waseng* wapo attention kuwaumiza hisia , mwaka jana karibia asilimia 80 ya watoto wa kike waliosoma kozi ya utabibu waliajiriwa Na tamisemi Na watoto wa kiume ulikuwa ni asilimia 20 tu....ndio maana nasema chungeni sana😀😀😀
Hatari
Saiz hizo ajira 1300 sijui na ngapi Kuna watu wanazigawana kabla hazijatangazwaNa kama wewe ulisoma kozi ya utabibu au clinical officer na ni mtoto wa kiume chunga sana , narudia tena kwa herufi kubwa CHUNGA SANA.....waseng* wapo attention kuwaumiza hisia , mwaka jana karibia asilimia 80 ya watoto wa kike waliosoma kozi ya utabibu waliajiriwa Na tamisemi Na watoto wa kiume ulikuwa ni asilimia 20 tu....ndio maana nasema chungeni sana😀😀😀
Afadhali umelitambua hilo, japo zikitangazwa usiache kuomba , kuomba ajira ni haki yako kama ilivyo haki yako kupiga kuraSaiz hizo ajira 1300 sijui na ngapi Kuna watu wanazigawana kabla hazijatangazwa
Kupata ni kipengele ufalme unatekwa na wenye nguvuKuwa na amani zitatoka,ila je utapata?
JichanganyeSio afya mkuu.