Mende mdudu
Senior Member
- Feb 13, 2023
- 111
- 223
Mkuu umenichekesha sana. Kuna siku tukiwa sehemu tunapiga masanga ikasikika milio ya rata tah tah tah aisee wale jamaa zetu wajeda ambao walikuwa na kihere here siku hiyo walilala chini na kujificha chooni kama sisi.Nani akafe sisi tunataka za Bongo tutumie mafunzo kuteaa raia na kujichotea mishahara..vita isikie tu ikiibuka hapa nusu ya jeshi hawatajulikana walipo hasa baba kanituma ambao ni wengi sasa hivi.
Toka lini utayari wa kifo ukawa na connection 🤣🤣🤣🤣🤣Kutokana na hali halisi uko mashariki ya kati, Palestine, Israel, iran, Lebanon n.k.
Ukitamani kua mwanajeshi uko unaonekana mzalendo na milango ipo wazi kutona na huwalisia wa kuepo na matukio kila kukicha, unapokelewa kama mfalme ukitaka kujiunga na majeshi uko kama raia wa taifa lao.
Hakuna mbanga, mbuyu wala nipe milioni au mbanga wako nae ana mbanga wake.