Ajira za jeshi Middle East haziitaji connection

Ajira za jeshi Middle East haziitaji connection

Mende mdudu

Senior Member
Joined
Feb 13, 2023
Posts
111
Reaction score
223
Kutokana na hali halisi uko mashariki ya kati, Palestine, Israel, iran, Lebanon n.k.

Ukitamani kua mwanajeshi uko unaonekana mzalendo na milango ipo wazi kutokana na huwalisia wa kuepo na matukio kila kukicha, unapokelewa kama mfalme ukitaka kujiunga na majeshi uko kama raia wa taifa lao.

Hakuna mbanga, mbuyu wala nipe milioni au mbanga wako nae ana mbanga wake.
 
Nchi kama Syria ikiwa familia kuna wanaume wawili au watatu basi mdogo au wadogo lazima waende jeshi hiyo ni lazima na sio ombi
 
Hata za marekani, maana muda wowote wanakinukisha unatupwa Afganistan ukapambane na wataliban wenye uchu na damu ya watu
 
Hizo nchi za mashariki watangaze tu nafasi za kujiunga na majeshi yao dunia nzima. Kama watasema lazima uwe raia wa nchi mbili poa tu, ila tz ukijiunga huko unajivua utz kwa kuwa tz haina uraia wa nchi mbili. Hata hivyo huko ni kwenda kufa tu!, nchi ziko vitani kila uchao hazina amani
 
Chagua ufe kwa njaa hapa TZ au ukakwepe risasi huko
 
weka source ya kujiunga kwa ufahamu wangu ufaransa ndio nchi pekee inayoruhusu mtu yoyote hadi sasa kujiunga na jeshi lake la french foreign legion.
 
Bongo ukazie nafasi afu litokee uje unilazinishe niende naanza na wewe kwanza
 
Nani akafe sisi tunataka za Bongo tutumie mafunzo kuteaa raia na kujichotea mishahara..vita isikie tu ikiibuka hapa nusu ya jeshi hawatajulikana walipo hasa baba kanituma ambao ni wengi sasa hivi.
Mkuu umenichekesha sana. Kuna siku tukiwa sehemu tunapiga masanga ikasikika milio ya rata tah tah tah aisee wale jamaa zetu wajeda ambao walikuwa na kihere here siku hiyo walilala chini na kujificha chooni kama sisi.
 
Halafu nchi za kipuuzi kama hizi zinabania nafasi vijana kuingia jeshini ,wao wanavuta ndugu tu na rushwa kwa sana ,ila vita ikitokea wanafanya forceful military conscription ya wanaume na vijana wa mtaani na kuwapeleka kuwa cannon fodders uwanja wa vita kwa nguvu , hao wanajeshi maofisa na maprivate uchwara wala hutawaona .
Nchi za ajabu sana hizi
 
Mimi nazitafuta sana hizo connection za jeshi huko middle east.Nifanyaje au nimuone nani hapa Tz ili nikajiunge huko ili kupata uzoefu Kuja kuing'oa Kwa lazima ccm?
 
Kutokana na hali halisi uko mashariki ya kati, Palestine, Israel, iran, Lebanon n.k.

Ukitamani kua mwanajeshi uko unaonekana mzalendo na milango ipo wazi kutona na huwalisia wa kuepo na matukio kila kukicha, unapokelewa kama mfalme ukitaka kujiunga na majeshi uko kama raia wa taifa lao.

Hakuna mbanga, mbuyu wala nipe milioni au mbanga wako nae ana mbanga wake.
Toka lini utayari wa kifo ukawa na connection 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom