Ajira za Mashambani Finland ( Scandinavia countries)

Baba jayaron

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
4,324
Reaction score
5,933
Buheri Wadau,

Madayaspora mlio ng'ambo hasa nchi za Scandinavia au mnaofahamu na kujihusisha na kuonganisha wafanyakazi nje kwa mikataba mifupi,

Naomba kuonganishwa na agency wanaofanya recruitment ya wafanyakazi Mashambani ( kuvuna na kupanda strawberries, cabbage n.k).

Ninashukuru kwa ushirikiano wenu.
 
Vipi wanao vuna cabbage Denmark hutaki?
 
Yaani mnataka kutumia nguvu zenu kwenda kulima kwa mzungu as if kwenu hakuna mapori?.. akili gani hizi?
Ungeona bei ya kilo mahindi anayolipwa mkulima baada ya mavuno na gharama za mbolea , pamoja na utayarishaji wa shamba , usingeandika hiki ulichoandika.
Kilimo ni moja ya kazi ngumu sana , sio rahisi,
 
Mkuu hawachukui kabisa wafanyakazi kutoka Africa namaanisha subsahara huko mashambani. Vibarua wengi wanatoka raia wa Ukraine, Poland na nchi zingine za eastern European.

Nje ya ulaya wanawachukua kila mwaka raia kutoka Thailand na Sri Lanka wanapewa working visa ya miezi sita.

Mwaka jana na mwaka huu hali ilikuwa mbaya kwasababu ya Corona.

Wapoland, Lithuanian, Latvians na Estonian wana weledi wa hali ya juu kwenye kuchuma berries, mboga na apples.

Pia huko Spain wamoroccow wengi uingia Spain kwenye Vibarua vya kuchuma apple.

Raia wa Uingereza walijaribu kuchuma cabbage na matunda walishindwa kabisa baada ya kufanya siku moja baada ya kuwa na uhaba wa wafanyakazi

Tatizo nigger akipewa visa kwenda kuchuma berries ama matunda anakuwa ni mihemko siku za kwanza kwana anajituma baada ya mwezi anachoka na kuingia mitini.

Hapa manigger wengi hata kazi ya kufagia tu nigger mvivu anafanya kama anasukumwa. Ndo maana hizi kazi uchwara kama kifagio niggers tunanyimwa sana siku hizi wanapendelea kuwapa eastern European, Bangladeshi, nepalese iyo jamii. Niggers wengi kwenye kifagio yani sijui ni mimi tu ndo na weledi

Sisi niggers hadi tufanye kazi iwe na ufanisi tunahitaji close supavishen ikiambatana na mkong'oto wa nguvu ili tija iwepo. Na hii mjeeumani aliiweza sana
 
Mkuu kama vipi tuje tushike wote hiko kimfagio,napiga kazi yoyote halali,niko tayari.
 
Africans wanawapa mimba Wazungu nao wanaingia kwenye system ya mdako wa hela ya serikali.
 
Kwa nini unatumia neno 'Niggers' badala ya waafrika au watu weusi? Neno Nigger linatumika sana kudhalilisha watu weus na wewe kama mdau unaeishi ughaibuni unajua ilo,watu wamepigana san kukana hili neno.
 
Kwa nini unatumia neno 'Niggers' badala ya waafrika au watu weusi? Neno Nigger linatumika sana kudhalilisha watu weus na wewe kama mdau unaeishi ughaibuni unajua ilo,watu wamepigana san kukana hili neno.
Acha tu nilitumie. Mbowe ni mtanzania. Unamuweka ndani nakumbambikia kesi ya Ugaidi bure. Mtanzania mwenzako unamtesa. Acha nilitumie tu neno Nigger.

Reli ya kisasa ya matrilion ina pita na kukatiza wananchi wanajsaidia maporini.
 
Mkuu sikiza Mimi hizi habari nilizipata kwa jamaa angu ambaye yet alikua akienda karibia kila mwaka before Corona, tatizo la jamaa ni chapombe pia nadhani ameharibu connection maana Kesha nila saana pesa zangu aniunganishie na agent wake bila mafanikio.
Kwa hivo nakataa kusema ma niggars hatuna nafasi Seema tunakatabia Cha kubaniana tu yaan roho ya korosho wanasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…