Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kama kuna mchongo wa kuwa mganga wa kienyeji huko, mtaalamu wa kukata vimeo, naomba unipe konekshwaaaaBuheri Wadau,
Madayaspora mlio ng'ambo hasa nchi za Scandinavia au mnaofahamu na kujihusisha na kuonganisha wafanyakazi nje kwa mikataba mifupi,
Naomba kuonganishwa na agency wanaofanya recruitment ya wafanyakazi Mashambani ( kuvuna na kupanda strawberries, cabbage n.k).
Ninashukuru kwa ushirikiano wenu.