Ajira za Mashambani Finland ( Scandinavia countries)

Kama kuna mchongo wa kuwa mganga wa kienyeji huko, mtaalamu wa kukata vimeo, naomba unipe konekshwaaaa
 
Jamaa alicho elezea ni kweli kabisa
 
Ungeona bei ya kilo mahindi anayolipwa mkulima baada ya mavuno na gharama za mbolea , pamoja na utayarishaji wa shamba , usingeandika hiki ulichoandika.
Kilimo ni moja ya kazi ngumu sana , sio rahisi,
Mimi naomba kuuliza tu. Hivi hapa Tanzania tunayo Sera ya Kilimo? Maana huwa nafahamu kuwa upo ule mpango unaoitwa ASDP.
 
Mapori yapo lakini ukilima mazao yanaozea shambani. Hakuna utaratibu mzuri wa kusafirisha mazao na hakuna soko la uhakika.
Kwa ujumla gharama za uzalishaji ni kubwa mno kutoka kuandaa shamba kuvuna hadi kusafirisha. Hapa Serikali haijatia mguu wake kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…