Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Kuna ajira zimetagazwa za muda mfupi hapa Manispaa ya Temeke lakini ni rushwa kwa kwenda mbele mpaka upate.
Watendaji wa kata wana majina yao na wanatamba sana kuwa wanao-appply wanapoteza muda maana wao ndio wana majina.
Sasa mpaka kumshawishi mtendaji aingize jina lako lazima mlungura upitike