Ajira za muda mfupi Manispaa ya Temeke, Rushwa imerudi kwa kasi

Ajira za muda mfupi Manispaa ya Temeke, Rushwa imerudi kwa kasi

Leo wapo kwenye semina pale ukumbi wa PL mkabala na ofisi ya Mkuregenzi. Kuna rafiki yangu mmoja tuliomba wote na hatukuitwa kwenye usaili ila jana katumiwa meseji yakupewa hongera ya kufaulu usahili hivyo leo aende kwenye semina na ameshafika mda huu na jina lake kalikuta.

NB; Kadi ya chama anayo ila sio muumini wa siasa, kwahiyo vijana kadi muhimu kwenye mambo kama haya na uwe na ukaribu na mwenyekiti/mtendaji wako wa mtaa
 
Back
Top Bottom