Ajira za muda mfupi Manispaa ya Temeke, Rushwa imerudi kwa kasi

Ikitotanzila

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2020
Posts
1,409
Reaction score
2,263
Kuna ajira zimetagazwa za muda mfupi hapa Manispaa ya Temeke lakini ni rushwa kwa kwenda mbele mpaka upate.

Watendaji wa kata wana majina yao na wanatamba sana kuwa wanao-appply wanapoteza muda maana wao ndio wana majina.

Sasa mpaka kumshawishi mtendaji aingize jina lako lazima mlungura upitike
 
Umeambiwa utakula Kwa urefu wa kamba Yako unalalamika nini?
 
Rushwa haijawahi kuisha
Na haitakiwi kuisha, ikiisha tu mambo yatakwenda hovyo

Tunao lalamika ubaya wa rushwa ni wale ambao hatuwezi toa rushwa

Nikiwa na nafasi ya kutoa rushwa kwA tz natoa aseeh kuna wapuuzi hawaelewi somo ukijifanya mfata sheria na haki
 

Wewe endelea kulalamika wenzako wanapiga kazi na maisha yanaenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…