Ajira za posta clerk zenye deadline tarehe 02/03/2023 majina ya wasailiwa yanatoka lini?

Jerry1

Member
Joined
Feb 19, 2023
Posts
11
Reaction score
4
Jaman naomba kwa wale ambao mnauzoefu na haya maswala ya application ajira portal mnielekeze nb maana nimekuwa muanga wa kila kukicha kufuatilia majina ya usahili kwa nafasi ya postal clerk ambayo ilipangwa deadline kuwa tarehe 02/03/2023 lkn hadi leo tarehe 03/04/2023 hamna jambo.hivi wanakubwaga na utaratibu gani?
 
Jaman naomba kwa wale ambao mnauzoefu na haya maswala ya application ajira portal mnielekeze nb maana nimekuwa muanga wa kila kukicha kufuatilia majina ya usahili kwa nafasi ya postal clerk ambayo ilipangwa deadline kuwa tarehe 02/03/2023 lkn hadi leo tarehe 03/04/2023 hamna jambo.hivi wanakubwaga na utaratibu gani??
Vuta subira mkuu.. Yatatoka siku watakayo amua wao😂😂.. Mwezi mmoja tuu wa kusubiri unalalamika? Watu wanasubiri hadi miez 4,6 huko😀😀
 
Hahahaha yaani shida ni kwamba nipo na ka contract kananipelekesha hatari so nategemea huko may be kutaninusuru maana daah dhambi🤣🤣
 
Mnhhh endelea kupambana tuuu, the slogan says.. usiache kazi kabla hujapata kazi maana ni kazi sana kupata kazi..
Uko utumishi hapaelewekagi kabisa, unaweza pata au usipate.. Vuta subira tuu..
 
Jaman mmhh!! We contract yangu ni kilio chetu huu mwaka wa tano nasainigi contract tu renewable malipo hayaongezeki so i feel tired
Ukichoka wapishe wengine mkuu.. Kuna watu kibao wanahitaji izo nafasi😀
 
Jaman mmhh!! We contract yangu ni kilio chetu huu mwaka wa tano nasainigi contract tu renewable malipo hayaongezeki so i feel tired
Kuhusu nafasi uliyoomba na unayosubiri kuitwa kwenye usahili. Usiweke matumaini kabisa, focus kwenye hiyo contract yako kwanza. Siku majina ya usahili yakitoka kapambane kwenye mchujo, nina imani siku ukitoka kwenye mchujo ndio utaelewa haya maneno yangu.
 
Mi namwambia hapa instead ya kunote apambane eti analeta habari za kutired kisa hawaongezwi mshahara wao... Subiri akiitwa kwenye yale majengo ndo ataelewa huyu😂😂😂... Famchezo na utumishi nini
 
Hahahaha sawa bhana but unajua ni muhimu sana kusonga mbele coz maisha sio leo tu bali kuna kesho pia nahitaji challenge zaid
 
Mimi nakuelewa vizuri tuu, nia na malengo yako but. Una contract and i hope unajua what it takes ukitaka kuvunja io contract, so be prepared for anything mkuu.. 👍
 
Ok asante sana kwa ushauri wako bestie
 
Mi nimeomba naona wameandika received tu !
 
Jaman naomba kwa wale ambao mnauzoefu na haya maswala ya application ajira portal mnielekeze nb maana nimekuwa muanga wa kila kukicha kufuatilia majina ya usahili kwa nafasi ya postal clerk ambayo ilipangwa deadline kuwa tarehe 02/03/2023 lkn hadi leo tarehe 03/04/2023 hamna jambo.hivi wanakubwaga na utaratibu gani?
ndgu yangu kua na subira mimi kuna kazi niliomba mwaka jana mwezi wa tano wakaitwa interview ya kwanza mwezi wa tisa na tangazo la kuitwa kazini lilitoka mwezi wa kumi na moja hapo mwajiri alikua ni TAWIRI japo mimi sijawa shortlisted kwa kipindi icho lakini ni kwamba walikaa mda sana ivyo basi wewe kua na subira ila kila siku hakikisha unaingia ajira portal asubuhi, mchana na usiku kabla hujalala kila siku ila sehemu nzzuri ya kuangalizia majina ya walioitwa kazini kama unatumia cimu andika ivi PSRS NEW UPDATES hapo utaona kila kitu sawa mkuu 0621703000
 
Back
Top Bottom