Ajira za posta clerk zenye deadline tarehe 02/03/2023 majina ya wasailiwa yanatoka lini?

Ajira za posta clerk zenye deadline tarehe 02/03/2023 majina ya wasailiwa yanatoka lini?

Jaman naomba kwa wale ambao mnauzoefu na haya maswala ya application ajira portal mnielekeze nb maana nimekuwa muanga wa kila kukicha kufuatilia majina ya usahili kwa nafasi ya postal clerk ambayo ilipangwa deadline kuwa tarehe 02/03/2023 lkn hadi leo tarehe 03/04/2023 hamna jambo.hivi wanakubwaga na utaratibu gani?
vuta subira mpendwa Kuna watu wameomba kazi ya tangazo la mwaka jana mwanzoni usaili wamefanya mwaka huu na mpaka Leo wanasubiri mkeka haujatoka bado wewe mwezi tu vuta subra
 
Back
Top Bottom