Vuta subira mkuu.. Yatatoka siku watakayo amua waoππ.. Mwezi mmoja tuu wa kusubiri unalalamika? Watu wanasubiri hadi miez 4,6 hukoππJaman naomba kwa wale ambao mnauzoefu na haya maswala ya application ajira portal mnielekeze nb maana nimekuwa muanga wa kila kukicha kufuatilia majina ya usahili kwa nafasi ya postal clerk ambayo ilipangwa deadline kuwa tarehe 02/03/2023 lkn hadi leo tarehe 03/04/2023 hamna jambo.hivi wanakubwaga na utaratibu gani??
Hahahaha yaani shida ni kwamba nipo na ka contract kananipelekesha hatari so nategemea huko may be kutaninusuru maana daah dhambiπ€£π€£Vuta subira mkuu.. Yatatoka siku watakayo amua waoππ.. Mwezi mmoja tuu wa kusubiri unalalamika? Watu wanasubiri hadi miez 4,6 hukoππ
Mnhhh endelea kupambana tuuu, the slogan says.. usiache kazi kabla hujapata kazi maana ni kazi sana kupata kazi..Hahahaha yaani shida ni kwamba nipo na ka contract kananipelekesha hatari so nategemea huko may be kutaninusuru maana daah dhambiπ€£π€£
Jaman mmhh!! We contract yangu ni kilio chetu huu mwaka wa tano nasainigi contract tu renewable malipo hayaongezeki so i feel tiredUkipata muda pitia huu uzi.. Jerry1
Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?www.jamiiforums.com
Ukichoka wapishe wengine mkuu.. Kuna watu kibao wanahitaji izo nafasiπJaman mmhh!! We contract yangu ni kilio chetu huu mwaka wa tano nasainigi contract tu renewable malipo hayaongezeki so i feel tired
Kuhusu nafasi uliyoomba na unayosubiri kuitwa kwenye usahili. Usiweke matumaini kabisa, focus kwenye hiyo contract yako kwanza. Siku majina ya usahili yakitoka kapambane kwenye mchujo, nina imani siku ukitoka kwenye mchujo ndio utaelewa haya maneno yangu.Jaman mmhh!! We contract yangu ni kilio chetu huu mwaka wa tano nasainigi contract tu renewable malipo hayaongezeki so i feel tired
Mkuu unapiga mshonoUkichoka wapishe wengine mkuu.. Kuna watu kibao wanahitaji izo nafasiπ
Mkuu unapiga mshono
NMkuu unapiga mshono
Asante sana MkuuKuhusu nafasi uliyoomba na unayosubiri kuitwa kwenye usahili. Usiweke matumaini kabisa, focus kwenye hiyo contract yako kwanza. Siku majina ya usahili yakitoka kapambane kwenye mchujo, nina imani siku ukitoka kwenye mchujo ndio utaelewa haya maneno yangu.
Mi namwambia hapa instead ya kunote apambane eti analeta habari za kutired kisa hawaongezwi mshahara wao... Subiri akiitwa kwenye yale majengo ndo ataelewa huyuπππ... Famchezo na utumishi niniKuhusu nafasi uliyoomba na unayosubiri kuitwa kwenye usahili. Usiweke matumaini kabisa, focus kwenye hiyo contract yako kwanza. Siku majina ya usahili yakitoka kapambane kwenye mchujo, nina imani siku ukitoka kwenye mchujo ndio utaelewa haya maneno yangu.
Hahahaha sawa bhana but unajua ni muhimu sana kusonga mbele coz maisha sio leo tu bali kuna kesho pia nahitaji challenge zaidMi namwambia hapa instead ya kunote apambane eti analeta habari za kutired kisa hawaongezwi mshahara wao... Subiri akiitwa kwenye yale majengo ndo ataelewa huyuπππ... Famchezo na utumishi nini
Mimi nakuelewa vizuri tuu, nia na malengo yako but. Una contract and i hope unajua what it takes ukitaka kuvunja io contract, so be prepared for anything mkuu.. πHahahaha sawa bhana but unajua ni muhimu sana kusonga mbele coz maisha sio leo tu bali kuna kesho pia nahitaji challenge zaid
Ok asante sana kwa ushauri wako bestieMimi nakuelewa vizuri tuu, nia na malengo yako but. Una contract and i hope unajua what it takes ukitaka kuvunja io contract, so be prepared for anything mkuu.. π
Ndio hivyo wameandika receieved but mda unaendaMi nimeomba naona wameandika received tu !
ndgu yangu kua na subira mimi kuna kazi niliomba mwaka jana mwezi wa tano wakaitwa interview ya kwanza mwezi wa tisa na tangazo la kuitwa kazini lilitoka mwezi wa kumi na moja hapo mwajiri alikua ni TAWIRI japo mimi sijawa shortlisted kwa kipindi icho lakini ni kwamba walikaa mda sana ivyo basi wewe kua na subira ila kila siku hakikisha unaingia ajira portal asubuhi, mchana na usiku kabla hujalala kila siku ila sehemu nzzuri ya kuangalizia majina ya walioitwa kazini kama unatumia cimu andika ivi PSRS NEW UPDATES hapo utaona kila kitu sawa mkuu 0621703000Jaman naomba kwa wale ambao mnauzoefu na haya maswala ya application ajira portal mnielekeze nb maana nimekuwa muanga wa kila kukicha kufuatilia majina ya usahili kwa nafasi ya postal clerk ambayo ilipangwa deadline kuwa tarehe 02/03/2023 lkn hadi leo tarehe 03/04/2023 hamna jambo.hivi wanakubwaga na utaratibu gani?