Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
MCT kana kwamba kama hawataki watu waajiriwe, huu utaratibu wa CPD points kwenye ku renew leseni ni wa ovyo sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba niwathibitishie wana Jf kuhusu hili...🤝Mm n camera operator sehemu flan hv, nmesoma diploma in film production. Ukipita mada zangu za 2018 utathibitisha.
Jamaa anataka watu wapungue wabaki wachache 😂Acha kupotosha watu mkuu,
Mbona umeng'ang'ana sana na hiyo mhuri..
Tamisemi wanataka original certificate,,,
Ila kama una copy ya vyeti kapige hiyo mihuri.....
Sasa kwa nini ule ugali na mchuzi wa maharage, wakati maharage yapo.
Unajua ww jamaa nilikuwa na namba yako, ila cjui ikawaje 😂Naomba niwathibitishie wana Jf kuhusu hili...🤝
Never mind...😊 mimi bado ninayo yakwako...☺Unajua ww jamaa nilikuwa na namba yako, ila cjui ikawaje 😂
Lazima tupinge mkuu, ili tubaki wachache c unaona tena raia ni wengi kuliko nafasi.? Lazima tukae kimkakati.NYIE WATOTO MWENZENU ANAWASHAURI KU CERTIFY VYETI MNAMPINGA... Endeleeni kujifanya wajuaji wakat hata makamasi ya chuo hayajawakauka...
Em fanya kama unanitumia namba ako pmNever mind...😊 mimi bado ninayo yakwako...☺
Kuna copy ya rangi mkuu ambayo unacertify na inakua na muonekano kama OG.Sioni umuhimu wa kuapload copy wakati original unayo. Ambayo unaweka mfumo wa PDF,
acha kukalili iyo sio PSRS na hawajasema mambo ya kucertisfy kijanaKwenye system zote za serikali lazima tu-upload vyeti vilivyo kuwa certified i.e Ajira Portal
Ikoje hiyo mkuuMCT kana kwamba kama hawataki watu waajiriwe, huu utaratibu wa CPD points kwenye ku renew leseni ni wa ovyo sana
😂Tamisenga[emoji1]
Mnapinga ili wengine wakosee....!?Lazima tupinge mkuu, ili tubaki wachache c unaona tena raia ni wengi kuliko nafasi.? Lazima tukae kimkakati.
Hakuitwa kwenye usahili.Huyu alikosa kazi kwasababu haja verify vyeti Ajira portal
SawaHakuitwa kwenye usahili.
Ili tuseme mtu amekosa kazi ni baada ya kufanya usahili hatua zote
Huwez ku renew leseni mpaka uwe na CPD points kuanzia 20.Ikoje hiyo mkuu
Hii ni nyepesi wala, siwalaumuHuwez ku renew leseni mpaka uwe na CPD points kuanzia 20.