Ajira za TAMISEMI

MCT kana kwamba kama hawataki watu waajiriwe, huu utaratibu wa CPD points kwenye ku renew leseni ni wa ovyo sana
 
Acha kupotosha watu mkuu,
Mbona umeng'ang'ana sana na hiyo mhuri..

Tamisemi wanataka original certificate,,,
Ila kama una copy ya vyeti kapige hiyo mihuri.....

Sasa kwa nini ule ugali na mchuzi wa maharage, wakati maharage yapo.
 
Sioni umuhimu wa kuapload copy wakati original unayo. Ambayo unaweka mfumo wa PDF,
Kuna copy ya rangi mkuu ambayo unacertify na inakua na muonekano kama OG.
Anyway usifanye kisichoainishwa kwenye tangazo la kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…