Ajira za TRA zina ubaguzi kwa watu wa Banking and Finance

Hyu jamaa mbona hajielewi watu wa banking wakatengwa vipi mbona Mimi nilifanya na nime soma banking wewe utakua ulikua na challenge ingine but sio hicho ulichoandika acha upotoshji
 
interview si wamefanya lakini? acheni kutafta sababu.
 
Kuna wakati walisema wachaga ni wengi sana tra uchunguzi ulipofanyika ikaonekana watu kutoka mkoa Mara ndio wanaongoza kwa wingi kuliko wachaga wakifuatiwa na Wahaya mahasidi wakaufyata wakabaki kimyaaaa ! [emoji3][emoji28]
Leta huo uchunguzi vinginevyo ni rumours
 
watu wa Banking & Finance mnabase sana kwenye masuala ya Bank na sio general ndo tatizo liko hapa.
Ni kweli mkuu ingawa wenyewe wana tumia kigezo cha sheria ya fedha kuhusu Kodi, lakini ukweli ni kwamba hawa ni watu wa mabenk huko na wame specialize kwenye sector za kibenk sana, na hii kitu inakuwa ngumu sana kukubali wao hata kama policy's zina badilika kwa waajiri wao wanaona kwa kuwa sababu mwanzoni walikuwa wakiitwa kwenye usahili wa TRA, basi ndio itabakia hivyo hivyo.
 
watu wa Banking & Finance mnabase sana kwenye masuala ya Bank na sio general ndo tatizo liko hapa.
INSIDER MAN Perrez Amanaya7 hamuijui kiundani hiyo kozi brothers, hawa watu wana specialize kwenye Bank Pia wanaisoma Pure Finance, na Module zao zina options kwa mtu anayetaka Pia kubobea kwenye accounting anasoma options zote za Accounting mwaka wa 1&2.

Ni kweli watu hawa wana specialize kwenye Pure Banking & Finance Modules, Lakini wengine wanachukua Accounting options ndani yake. Na TRA wameweka kigezo cha kozi zilizo specialize kwenye Finance Pia waweze ku-apply. Hope hicho kigezo cha Finance kiliwafanya wawe selected for Interview.
 
Kwanini wasichukue pure Taxation na watu wa Accounts maana kama watu wa taxation wao hapo ndo hasa ndio field yao, kusoma module moja ya tax isiwe kigezo, kwani wataxation pia wamesoma credit and lending module lakini kwenye kazi za banking hawawi shortlisted.
 
Hivi jaman majibu bado o watu washaitwa kimya kimya kwenye oral na kupewa ajira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…