Ajira za ualimu 2015 ni pigo la wengi

Ajira za ualimu 2015 ni pigo la wengi

Je kauli ipi ilikuacha mdomo wazi mpaka Leo kutoka kwa viongozi wetu:
1: kuleni nyasi ndege ya rais lazima inunuliwe. (Mramba)
2. Foleni dar ni ishara ya maendeleo (jk)
3. Acheni wivu wa kike (msekwa)
4. Asiyeweza kulipa nauli ya kivuko apige mbizi (magufuli)
5. Baada ya kutumia helicopter ya jeshi kwenda nayo urambo mlitaka nitumie punda" (kapuya)
6. Wabunge wa dar mnafikiria kwa kutumia makalio (masaburi)
7. Ukitaka kula lazima uliwe (jk)
8. Mnauliza mvua kwani mi waziri wa mvua (wasira)
9. Kila mwananchi atabeba msalaba wake (mukullo)
10. Wanafunzi kupata mimba ni viherehere vyao (jk)
11.asiyeweza gharama za umeme awashe kibatari ( muhongo)
12. Uchumi mnao lakini mnaukalia (nyerere)
13. Chadema tupo makini kuliko serikali ya ccm na usalama wa taifa (Dr.slaa)
14. Siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa (juma nkamia)
15. Tumefika hapa kwa upuuzi wa ccm namaanisha tumefika hapa kwa udhaifu wa rais (john mnyika)
16. Polisi Mimi ni kama rais wao hawana cheo cha kunikamata (mch. Mtikila)
17. Watanzania tuhakikishe tunamwaga damu za kutosha tuingie ikulu (Dr slaa)
18. Ukiona tz kuna maisha magumu nenda unakoona kuna vya dezo (jk)
19. Wanaoishi mbagala wote pumbavu (mkapa)
20. Msinywe mchuzi wa sangara unawaletea nyege mtapata ukimwi bure (lowasa)
21. Wanaoandamana kuweka mgomo piga tuu..(pinda)
22. Mtaenda kazini mkiwa na ngeu mkigoma (jk)
23. Supplementary ni somo kama masomo mengine. (Mulugo)
24. Tanzania ni muungano wa visiwa vya Zanzibar na Zimbabwe. (Mulugo)
25. Anayeona mshahara haumtoshi aache kazi (jk)
26. Nampongeza maalim seif kwa kupata kura nyingi ila nampongeza karume kwa kuchaguliwa kuwa rais wa Zanzibar (mwinyi).....
 
Teeenda miujizax2
Tenda Bwana.....
Teeenda miujizax2
Usiache Bwana mwezi upite,
Bila kutenda muujiza.
 
serikalin wako busy na mapinduz kesho...subirin j3
 
Poleni sana walimu wenzangu kwa maumivu ya akili. Ila nachowaomba msitumie lugha chafu kwajir ya usalama wako kutokana na sheria mpya inayotaka kuanza
Mawazo yangu ninavojua taarifa kuhusu ajira zetu ingetangazwa leo asubuh kwenye tv na maredio then hata ukingia mtandaoni unaziona
Suruhisho ni kwamba ajira hazijatoka leo ndio maana vyomb vya habar havijatangaza chochote kuhsu ajira
Msisitizo wangu ni kwamba twendelee kusubir mpaka pale watakapotangaza sio kusubir ahadi tenda
Huzuni yangu ni kwamba roho inaniuma sana kwa serikali ya chama kipenzi changu cha moyo kuniumiza na kunitesa kiasi iki kweli mapenzi yanauwa jamani tukionee huruma iki chama sio kosalake kimeshikwa pabaya

Ajira za walimu sasa zitakua zinatangazwa kama ajira nyingine watu wanaitwa kupiga interview kwaio habari ndo hiyo. Chanzo tv1
 
je kauli ipi ilikuacha mdomo wazi mpaka leo kutoka kwa viongozi wetu:
1: Kuleni nyasi ndege ya rais lazima inunuliwe. (mramba)
2. Foleni dar ni ishara ya maendeleo (jk)
3. Acheni wivu wa kike (msekwa)
4. Asiyeweza kulipa nauli ya kivuko apige mbizi (magufuli)
5. Baada ya kutumia helicopter ya jeshi kwenda nayo urambo mlitaka nitumie punda" (kapuya)
6. Wabunge wa dar mnafikiria kwa kutumia makalio (masaburi)
7. Ukitaka kula lazima uliwe (jk)
8. Mnauliza mvua kwani mi waziri wa mvua (wasira)
9. Kila mwananchi atabeba msalaba wake (mukullo)
10. Wanafunzi kupata mimba ni viherehere vyao (jk)
11.asiyeweza gharama za umeme awashe kibatari ( muhongo)
12. Uchumi mnao lakini mnaukalia (nyerere)
13. Chadema tupo makini kuliko serikali ya ccm na usalama wa taifa (dr.slaa)
14. Siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa (juma nkamia)
15. Tumefika hapa kwa upuuzi wa ccm namaanisha tumefika hapa kwa udhaifu wa rais (john mnyika)
16. Polisi mimi ni kama rais wao hawana cheo cha kunikamata (mch. Mtikila)
17. Watanzania tuhakikishe tunamwaga damu za kutosha tuingie ikulu (dr slaa)
18. Ukiona tz kuna maisha magumu nenda unakoona kuna vya dezo (jk)
19. Wanaoishi mbagala wote pumbavu (mkapa)
20. Msinywe mchuzi wa sangara unawaletea nyege mtapata ukimwi bure (lowasa)
21. Wanaoandamana kuweka mgomo piga tuu..(pinda)
22. Mtaenda kazini mkiwa na ngeu mkigoma (jk)
23. Supplementary ni somo kama masomo mengine. (mulugo)
24. Tanzania ni muungano wa visiwa vya zanzibar na zimbabwe. (mulugo)
25. Anayeona mshahara haumtoshi aache kazi (jk)
26. Nampongeza maalim seif kwa kupata kura nyingi ila nampongeza karume kwa kuchaguliwa kuwa rais wa zanzibar (mwinyi).....
umesahau no:27

27. Nitatoa majina ya ajira mpya ifikapo tarehe 25 .then hiyo tarehe hayakuonekana
 
Back
Top Bottom