mwalimumzalendo1 JF-Expert Member Joined May 19, 2014 Posts 1,098 Reaction score 406 Oct 27, 2014 #1 Habari za jion JF Hivi hawa walimu wa diploma wa mwaka huu wataajiliwa bila kuwa na cheti cha JKT ? Maana kuna mdogo wangu yupo hajaenda JKT Nahitaji kujua kama hataajiliwa tumtafufutie cha kufanya
Habari za jion JF Hivi hawa walimu wa diploma wa mwaka huu wataajiliwa bila kuwa na cheti cha JKT ? Maana kuna mdogo wangu yupo hajaenda JKT Nahitaji kujua kama hataajiliwa tumtafufutie cha kufanya
moto ya mbongo JF-Expert Member Joined Sep 9, 2009 Posts 484 Reaction score 337 Oct 27, 2014 #2 Ukisikia haya ujue mdau keshatoroka JKT.
C Crystal field theory JF-Expert Member Joined Sep 16, 2014 Posts 940 Reaction score 401 Oct 27, 2014 #3 Ayo mapuuuza. . Tena wakikuskia, utabeba dunia!
W WA KG Member Joined Sep 24, 2014 Posts 39 Reaction score 5 Oct 28, 2014 #4 Kwa nn hajaenda? over na yuko sehem gan coz huyo n wa mjib wa sheria hvyo amekiuka sheria
K KIJANA SP New Member Joined Oct 14, 2014 Posts 4 Reaction score 0 Oct 28, 2014 #5 Kijana ameona ANAJILA sana naona karudi yani...UZALENDO tu umerudi....hahahahaha"
petermasele Member Joined Oct 22, 2014 Posts 22 Reaction score 5 Oct 28, 2014 #6 Huyo anamakosa kisheria.
H Hatugombani JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 1,142 Reaction score 805 Oct 30, 2014 #7 diploma waliohitimu wanapata 4800,waliochaguliwa ni elfu 3 tu,hao ndio walioenda,haijajulikana hawa waliobaki wataenda au lah? tusubiri maamuzi kwa waliobaki.
diploma waliohitimu wanapata 4800,waliochaguliwa ni elfu 3 tu,hao ndio walioenda,haijajulikana hawa waliobaki wataenda au lah? tusubiri maamuzi kwa waliobaki.
Kv-london JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 2,877 Reaction score 5,022 Oct 30, 2014 #8 Lets wait and see.