mwalimumzalendo1
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 1,098
- 406
Habari za jion JF
Hivi hawa walimu wa diploma wa mwaka huu wataajiliwa bila kuwa na cheti cha JKT ?
Maana kuna mdogo wangu yupo hajaenda JKT
Nahitaji kujua kama hataajiliwa tumtafufutie cha kufanya