AJIRA ZA UALIMU kutoweka baada ya miaka miatatu ijayo

Mshinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
3,532
Reaction score
1,126
kutokana na upungufu mkubwa wa walimu nchini serikali na taasisi za binafisi wamefanya na wanafanya juhudi kubwa kutatua tatizo la walimu,tayari kwa kiasi kikubwa tatizo la walimu wa arts ni kama limeisha na tatizo la walimu wa sayansi ndio bado,

kwa kuwa ualimu ilikuwa ni kimbilio la wengi na ajira zake hazikuhitaji hata interview.

sasa watu waanze kujiandaa kisaikolojia kwa kukosekana kwa jira za ualimu hasa kwa wanafunzi walimu wa masomoya arts ambao sasa wapo masomoni ndani ya miaka mitatu ijayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…