Ajira za ualimu zimeendelea kuwa kokolo kwa kusomba hata wasiofaa

Usilolijua ni sawa na ucku wa giza.kazi ya mwl nikuelekeza mwl anamchango 20ASILIMIA 80 ya mwanafunzi.j
ina mana maelezo yote haya hujaelewa? sikumaanishi uwingi wa vitu vya kufundisha, nilimaanisha uwezo wa kueleweka kwa asilimia kubwa hata kama umefundisha mifano minne ya logarithm, na siyo unafundisha mifano minne walioelewa hata robo hawafiki ama wote hawajaelewa
 
kazi ya ualimu inaitaji moyo.watoto wazazi na serikali wakorofi.watoto wapo fb kila wkt wakitafuta marafiki.wangesoma wp
hii ni hoja mfulisi na nje ya mada
 

wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi..!!!!
 

well said mkuu...!

tulikuwa na mwalimu wa pure math a-level yaan sio kama haeleweki bali hajui hesabu yaani ni too shallow mifano yake mwenyewe kaiandaa ofisini lakini inamtoa. povuu ubaoniii
 

I wish you could put your dirt feet in my white shoes and make my steps to be yours, you wouldn't have commented me as a person of dull thinking my dear. Did you know the earth is not as a sphere as they used to say of it my friend? Did you know that God exists in the hell also? Make sure your lips are kept as clean as the nosetril. When judging a person in his/her absence make sure the person is of your status.
 
Huku mashuleni tatizo kubwa ni kwa w/funzi na wazaz wao kwa asilimia kubwa. Mwl. wa degree hawez shindwa kufundisha.
 
Angalieni mleta uzi uandishi wake ndio ujue hata anachokisema hajui. Hajui hata matumizi ya l na r yeye bora liende harafu analalama walimu wapewe mchujo. Unajua walimu wanaopaswa kuajiriwa ni wa ngapi? Hiyo interview itafanyikaje kwa idadi kubwa vile ya walimu wapya? Jaribu kuwa thinkative japo kidogo.
 

we hujui lolote wenzako tumeshalamba ajira ww endelea kusota na hyo bba yako mpka utakoma
 
we hujui lolote wenzako tumeshalamba ajira ww endelea kusota na hyo bba yako mpka utakoma

hahahahahha dah well said!! tuzidi kuomba serikali iwe inafanya interview za walimu kama 36000 kila mwaka kabla ya kuwaajiri ila sisi ndo tumeshaajiriwa tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…