Mshinga
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 3,532
- 1,126
- Thread starter
- #21
ina mana maelezo yote haya hujaelewa? sikumaanishi uwingi wa vitu vya kufundisha, nilimaanisha uwezo wa kueleweka kwa asilimia kubwa hata kama umefundisha mifano minne ya logarithm, na siyo unafundisha mifano minne walioelewa hata robo hawafiki ama wote hawajaelewaUsilolijua ni sawa na ucku wa giza.kazi ya mwl nikuelekeza mwl anamchango 20ASILIMIA 80 ya mwanafunzi.j