Mshinga
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 3,532
- 1,126
si kila aliyesoma ualimu na kuhitimu toka chuo chochote iwe cha serikali ama private ana uwezo wa kufundisha akaeleweka, sasa hapa wote waliofauru wameajiliwa bila mchujo wakupata wanaoeleweka. ifikie wakati tuangalie kinachotakiwa, masomo ya sayansi yataendelea kusumbua hasa physics na mathematics maana yanahitaji walimu wanaoeleweka zaidi na kama hawaeleweki basi hawana msaada sawa na kwamba wanafunzi hawana mwalimu