Ajira za ualimu zimetolewa tena rasmi

Masumbuko r bilali

Senior Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
158
Reaction score
35
Dah umeme Umekata smart haina chaji
 
sasa malalamiko naimani yameisha nendeni mkapige kazi.

ingia tamisemi uhakiki then ukariport.
 
na vituo kuna wengine wamebadilish
iwa
 
na vituo kuna wengine wamebadilish
iwa


yaah wapo waliobadilishuwa vituo mana kuna jamaa yangu alipangwa muleba-kagera mara ya kwanza ila kwa sasa kapelekwa makambako-njombe.
 
Ingia tamisemi.go.tz

Kwanza kabla ya kuripoti usije ukaripoti mahali yofauti
 
jama kulingana na device niitumiayo na hii congestion sio labda wasamalia wa up load humu
 
wale walio clear sup majina yao yametoka kuna mdogo wangu alikuwa na sup aka clear anaulizia kwa aliyeyaona msaada jamani.
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…