Ajira za ualimu zimetolewa tena rasmi

Ajira za ualimu zimetolewa tena rasmi

Masumbuko r bilali

Senior Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
158
Reaction score
35
Dah umeme Umekata smart haina chaji
 
sasa malalamiko naimani yameisha nendeni mkapige kazi.

ingia tamisemi uhakiki then ukariport.
 
na vituo kuna wengine wamebadilish
iwa
 
Ingia tamisemi.go.tz

Kwanza kabla ya kuripoti usije ukaripoti mahali yofauti
 
jama kulingana na device niitumiayo na hii congestion sio labda wasamalia wa up load humu
 
wale walio clear sup majina yao yametoka kuna mdogo wangu alikuwa na sup aka clear anaulizia kwa aliyeyaona msaada jamani.
 

Attachments

Back
Top Bottom